Na hakuna bara linaloitwa Uarabuni....hiyo Arab nation ni kiwakilishi tu cha nchi zinazoendana kiutamaduni na kidini(kiislamu) kutoka bara la Afrika na Asia bila kujali geographic positionTimu ya Taifa ya Wanawake ya Morroco ime advance kutoka group stage ya FIFAWWC inayoendelea huko Austarlia na New Zealand na kuingia kwenye group of 16, Wapewe Maua yao.
Wakati ikitangazwa hivyo, wanahabari walidai Morroco ni Nchi ya Kwanza kutoka [Arab Nation] kufanya hivyo.
Kwa kuzingatia mashindano ya C.A.F yaliyofanyika hivi karibuni Morroco
Na kwa uhalisia kuwa Morroco ipo katika bara la Afrika, ndio nimechanganyikiwa kabisaa.
Niwaulize Wana JF Morroco ni Arab Nation? Je, mashindano ya C.A.F yalifanyika Uarabuni?
Moroccans identify them selves to be more Arabs than being African, but its not a crime.Timu ya Taifa ya Wanawake ya Morroco ime advance kutoka group stage ya FIFAWWC inayoendelea huko Austarlia na New Zealand na kuingia kwenye group of 16, Wapewe Maua yao.
Wakati ikitangazwa hivyo, wanahabari walidai Morroco ni Nchi ya Kwanza kutoka [Arab Nation] kufanya hivyo.
Kwa kuzingatia mashindano ya C.A.F yaliyofanyika hivi karibuni Morroco
Na kwa uhalisia kuwa Morroco ipo katika bara la Afrika, ndio nimechanganyikiwa kabisaa.
Niwaulize Wana JF Morroco ni Arab Nation? Je, mashindano ya C.A.F yalifanyika Uarabuni?
Endelea kushangilia ni kutoka barani mwetu Waarabu hawana BaraMimi nilikuwa tayari kushangilia timu tatu kutoka Africa kufikia group of 16, sasa tumebakiwa na timu mbili, yaani Nigeria na South Africa. Morocco ni ya Uarabuni.
Morocco ni nchi ya kiarabu, ila ipo barani Africa.Niwaulize Wana JF Morroco ni Arab Nation? Je, mashindano ya C.A.F yalifanyika Uarabuni?
Sioni kama kuna shida manake kiasili na tamaduni wao ni wa Arab, ila ki bara ni wa Africa.Timu ya Taifa ya Wanawake ya Morroco ime advance kutoka group stage ya FIFAWWC inayoendelea huko Austarlia na New Zealand na kuingia kwenye group of 16, Wapewe Maua yao.