Huwa sikisii:

 
Yaani Urusi anawekewe Security updates kama Tanzania?? Na wanashindwa kutrack tukio.huu ni ujinga

Putin kama unanisikia Fukuza Kazi Boss wa FSB, KGB na hata huyo Shoigu amekua mzigo fukuza hao watu... Inawezekanaje watu wanaua raia 130 kwa muda wote huo mji kama Moscow Idara za Usalama zimelala..shenzi sana..
 
Safi sana kama nao ni wababe wafadhili magaidi wakaripue Marekani 🤣🤣
 
TUKUMBUKE,Wiki mbili zilizopita Marekani na Uingereza zilitoa tahadhari ya kutokea kwa tukio la kigaidi ndani ya Urusi.
USA sio wa mchezo mchezo 😁😁

Russia kanyooshwa alijua ni propaganda.

Israel ilionywa na USA Kupitia Egypt kwamba Kuna mashambulizi yameoangwa wakazingua saizi wanaua wapalestina wasio na hatia baada ya Mashoga kufanyiwa kitu mbaya na Hamas.
 
⚡Ukrainian intelligence agency spokesperson Tusov tells Ukrainska Pravda news outlet: Events in Moscow are a ‘conscious provocation by Russian special services’ — Reuters
Yaani hapo ndipo huwa nashangaa na kusikitika yaani Hawa watu wa intelligence wako tayari Kutengeneza tukio Ili wapate sababu ya kufanya wanayotaka bila kujali watu waliokufa.
 
America katoa tahadhari na kweli imetiki, cha ajabu katoa tahadhari kwa nchi pinzani, ila kwake matukio kama haya huwa yanatokea na wala hashituki.
Uchawi upo duniani 😂
Ndio wakati wa Russia nayo kutoa Tahadhari Kwa USA Sasa.
 
Yanaweza kuwa magaidi au mashambulizi ya kupangwa na vyombo.

Pili Hadi magaidi wanajipenyeza ,wanaratibu na kushambulia hao vyombo Huwa wanakuwa wapi hasa? Hizo Nchi si ndio mnatuambia Wana rada,satellite sijui camera mara mifumo ya ulinzia na blaa blaaa kibao,Huwa hawaoni? Mpaka hapo hizo Huwa ni stori za kujifariji tuu.

Mwisho always epuka mikusanyiko ya watu wengi iwe makongamano au sherehe hususani za usiku.
 
Hiyo CIA mbona imeshindwa kuzuia mauaji ya maelfu ya raia wa Marekani wanao kufa kila mwaka kwa sababu ya ufyatulianaji wa risasi?
Hizo ni mambo za magongwa ya akili ambazo hutokea personally,ugaidi watu wanapanga ,wanaratibu na wanatekeleza hapo ni failure ya vyombo
 
Baada ya kujua USA anafadhili then Nchi zenu Zenye Rasilimali zikafanyaje Sasa Ili kukabiliana na Hilo? Mbona ni simple sana?
 
Simple tuu sheria za kumiliki silaha ni rahisi kuliko Tzn, makampuni ya silaha yatauza wapi wakizuia Hilo? Na ni mjadala mkubwa sana Kila mara matukio yakitokea huko lakini hawako tayari kuweka sheria za Kuzuia umiliki silaha.
 
Personalities na ustaarabu wa jamii Moja Hadi mwingine havifanani.

Lakini pia wanadai Ile tabia ya movies za matumizi ya silaha imekithiri huko Marekani hivyo huenda inachochea mambo hayo ya kutumia silaha kienyeji mtu anahiis Yuko ku act movie 🤪🤪
 
W
Tunaaminishwa waarabu tu ndio magaidi kumbe na wazungu magaidi yapo mengi tu.
hAwa wajomba zako na ugaidi ni kama pete na kidole
 

Attachments

  • IMG_20240323_054356.jpg
    159.7 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…