Moscow, Urusi: Shambulio la kigaidi laua Watu zaidi ya 130
Tatizo mnajua ugaidi lazima mtu awe muislamu kavaa kanzu na kujilipua.

Gaidi hata wewe ukienda kulipua watu pale kariakoo kisa serikali imewafunga wachungaji flani jela huo ni ugaidi pia.

Ugaidi ni matumizi ya vurugu zisizo halali au tishio la vurugu kinyume cha sheria ili kuleta hofu;
Hata Urusi kuvamia Ukraine na kupiga mabomu kwa raia kila siku ni ugaidi pia.
 
Usichanganye mambo jikite kwenye mada husika, CIA hata hawahusiki sana na mambo ya ndani ya Marekani.
Pia suala la silaha kwa raia Marekani ni kubwa mno juu ya uwezo wako kulielewa. Pia hakuna nchi yenye bunduki nyingi mikononi mwa raia zaidi ya Marekani na hakuna nchi ambayo sheria za kununua na kumiliki bunduki ni rahisi kuliko Marekani.
Hapa hoja ni kuzuia mauaji ya raia na sio mauaji yana fanyikaje au yanafanywa na nani, kwani mauaji yakifanywa na gaidi kuna tofauti gani na mauaji takifanywa na nwendawazimu au mtu asiye kuwa gaidi?
Lengo la kuundwa kwa CIA ni kuilinda Marekani na raia wake sasa kama nchi inapoteza maelfu ya watu kila mwaka basi hiyo CIA ni dhaifu.

Ndo hayo ya kuisifia mosad alafu wakati huo imeshindwa kutambua mateka walipo wakati wameshikiliwa kwenye kieneo kidogo chenye ukumbwa kama jiji la tanga.

Nchi yenye kiwango kikubwa cha raia wake kumiliki silaha ni Yemen na sio Marekani , lakini tofauti na makundi ya wapiganaji kupigana huwezi kusikia eti raia wanauana kiholela kama Marekani.
 
Hata Urusi kuvamia Ukraine na kupiga mabomu kwa raia kila siku ni ugaidi pia.
Hii mada hatuwezi imaliza hapa tutajaza uzi tu.
Russia imetoa onyo mara nyingi tu kwa raia wa Ukraine kuhusu mashambulizi watakayofanya, lakini mwisho wa siku vita haina macho.


Zelensky ni mpumbavu, Russia ni global superpower, huwezi sogeza NATO pale ambapo ni threats kwake.

Kwanini Hata US ilitaka pambana na USSR 1962, ilitokea confrontation na ilibaki kidogo sana waingie vitani, sema Russia ikaamua kutumia busara.
Shida ilikua USSR kuanzisha mahusiano ya kijeshi na Cuba, ndio leo hii imetokea tena Ukraine inataka kuanza ushirikiani wa kijeshi na nchi za magharibi kwa kujiunga NATO.
 
Russian media claims that the security services are looking for a number of Islamist Ingushetians, including:

  • Gurazhev Amirkhan (1989)
  • Ozdoev Adam (1987)
  • Tsuroev Zelimkhan (2000)
Russian media removed the photos of the alleged terrorists. They were actually killed during a shootout in Ingushetia in early March.
 
Russian media removed the photos of the alleged terrorists. They were actually killed during a shootout in Ingushetia in early March.
 

Attachments

  • 20240323_002132.jpg
    20240323_002132.jpg
    48.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom