Moscow, Urusi: Shambulio la kigaidi laua Watu zaidi ya 130
⚡#BREAKING RT head Simonyan: Death toll in terrorist attack near Moscow at 143 people — Reuters
 
Ukraine haikua na haja ya kufanya tukio kama hili ndani ya Urusi sababu ingepunguza uungwaji mkono wake kwa nchi za magharibi.
Itapunguza huungwaji mkono kutoka Magharibi kivipi wakati hao Magharibi huwa wanatamani kuiona Urusi kwenye matatizo kila mara?
 
Kama silaha zao tu hawataki zitumike ndani ya Urusi iweje waruhusu Ukraine ifanye ugaidi Urusi?!
Sasa mbona zinatumika kushambulia miji ya mpakani mwa Urusi na nchi za Magharibi hazijawahi kuikataza wala kuikemea?
 
Sasa mbona zinatumika kushambulia miji ya mpakani mwa Urusi na nchi za Magharibi hazijawahi kuikataza wala kuikemea?
Uliona wapi?! Ukraine ilishasema inatumia silaha zake kushambulia kwenye ardhi ya Urusi. Hata hizi oil refineries zinazopigwa kila siku zinapigwa kwa drones wanazotengeneza Ukraine wenyewe.
 
JUST IN - Putin will address nation at 3:30 pm (8:30 am EST) - state media
 
Back
Top Bottom