Kama anahusika,lazima awajibike!😂😂😂Hawa jamaa wanatafuta kila mbinu kumuangushia Ukraine jumba bovu
BREAKING: Russian Foreign Ministry spokesperson says that 'through the hands of the West, Ukraine has been turning into a center for the spread of terrorism for ten years'.
Kwa sababu haihusikiKwa nn Marekani amewahi kuitetea Ukraine kuwa haihusiki?
Hatari sana walijua uwezo wa kunga'mua codes mtihani so mkubwa analia kwa nini hakupewa msaada zaidi na US ndo kilio chake hicho maana imebidi aseme tu....Kwahiyo walitaka kutafuniwa kila kitu😂😂😂
Naanza kuamini hili tukio lilipangwa na ISIS.❗️ RT Editor-in-Chief Margarita Simonyan publishes footage from interrogation of Moscow terror attack suspect
View: https://twitter.com/RT_com/status/1771488144992481572?t=I7lzsVLJbVGJf7nco4o19g&s=19
Wakamuwajibishe Abdula, aliahidi $5000 kwa magaidi yakaue WarusiKama anahusika,lazima awajibike!
Lile tukio la boston marathon ilikuwa mwaka gani? Na hilo la sept11 kwanini hawakulistukia b4?Hakuna tukio la ugaidi lilitokea Marekani tangu September 11 2001.
Kwa sabubu Russia kasema operation imeisha sasa ni vita😂Kwa nn Marekani amewahi kuitetea Ukraine kuwa haihusiki?
Nimecheki na jamaa walioko Russia, wamethibitisha kuwa kumetokea tragedyCertified lier
Itapunguza huungwaji mkono kutoka Magharibi kivipi wakati hao Magharibi huwa wanatamani kuiona Urusi kwenye matatizo kila mara?Ukraine haikua na haja ya kufanya tukio kama hili ndani ya Urusi sababu ingepunguza uungwaji mkono wake kwa nchi za magharibi.
Kwann Ukraine isijitete yenyewe mpaka isubiri kusemewa na Marekani?Kwa sababu haihusiki
Sasa mbona zinatumika kushambulia miji ya mpakani mwa Urusi na nchi za Magharibi hazijawahi kuikataza wala kuikemea?Kama silaha zao tu hawataki zitumike ndani ya Urusi iweje waruhusu Ukraine ifanye ugaidi Urusi?!
Uliona wapi?! Ukraine ilishasema inatumia silaha zake kushambulia kwenye ardhi ya Urusi. Hata hizi oil refineries zinazopigwa kila siku zinapigwa kwa drones wanazotengeneza Ukraine wenyewe.Sasa mbona zinatumika kushambulia miji ya mpakani mwa Urusi na nchi za Magharibi hazijawahi kuikataza wala kuikemea?