Ni lazima, unataka news from credible source, ni mamlaka za serikal zitoea hiyo habari. Wengi wanaweza copy na kuzungusha, kuongeza chumvi au kupunguza. Credible source ndio kila kitu sio za ku okoteza huko pembeni pembeni
Masuala ya ukraine watajua wenyewe sio interest zangu
Baba mzazi wa mmoja wa magaidi anashangaa kumuona mwanae kahusika na tukio. Baba na wanae walikuwa wanaendesha mabasi madogo "minibus" huko nchini kwao Tajikistan, baadae wanae walienda Kutafuta maisha. Mara ghafla Mtoto mkubwa akafia Syria, mkubwa alienda Syria mwaka 2016, huyu mdogo alisema yupo anaendesha taxi urusi toka October ,ghafla Baba mzazi anaambiwa mtoto wake wa pili na yeye kakamatwa kama mshukiwa wa tukio la ugaidi. Bado warusi wanaendelea na msako.