Moscow, Urusi: Shambulio la kigaidi laua Watu zaidi ya 130
Wahusika wa shambulizi wameshakiri haya madai mengine hayana uthibitisho zaidi ya propaganda tu.
Sasa ndio wanatafutwa mabosi wao hao wametumwa tu kama ni kina zelisky aisee waanze kuandika urithi.
 
Hiyo sio official report from officialy site ya russia gov. Jifunze ku seek original info not random sites
Sio lazima upate habari kutoka huko kwa kifupi Ukraine wajiandae kwa kilio viongozi wote.hiyo ni kauli rasmi wa kiongozi wa Hilo shirika
 
Russia ataishia kubweka tu kama kawaida yake arushe ata punje ya mchanga pale nyuu yoki basi tuone umwamba wake
 
Sio lazima upate habari kutoka huko kwa kifupi Ukraine wajiandae kwa kilio viongozi wote.hiyo ni kauli rasmi wa kiongozi wa Hilo shirika
Ni lazima, unataka news from credible source, ni mamlaka za serikal zitoea hiyo habari. Wengi wanaweza copy na kuzungusha, kuongeza chumvi au kupunguza. Credible source ndio kila kitu sio za ku okoteza huko pembeni pembeni

Masuala ya ukraine watajua wenyewe sio interest zangu
 
Mi natamani tu kuwaoana wale vijana hali zao zinaendeleaje kwa sasa, wamechakaa zaidi au wakoje
 
Baba mzazi wa mmoja wa magaidi anashangaa kumuona mwanae kahusika na tukio. Baba na wanae walikuwa wanaendesha mabasi madogo "minibus" huko nchini kwao Tajikistan, baadae wanae walienda Kutafuta maisha. Mara ghafla Mtoto mkubwa akafia Syria, mkubwa alienda Syria mwaka 2016, huyu mdogo alisema yupo anaendesha taxi urusi toka October ,ghafla Baba mzazi anaambiwa mtoto wake wa pili na yeye kakamatwa kama mshukiwa wa tukio la ugaidi. Bado warusi wanaendelea na msako.


View: https://youtu.be/--uzMdbrFzo?si=c9W05YiqqqSP1a6h
 
Back
Top Bottom