Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Hahahah⚡#BREAKING Reuters: ISIS claims responsibility for the attack on a concert hall near Moscow
Russia wamesema wao hawatoambiwa fulani ndiyo amehusika. Wao watafanya wenyewe uchunguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah⚡#BREAKING Reuters: ISIS claims responsibility for the attack on a concert hall near Moscow
Mkubwa kavuliwa nguo lazima achutame🤣😂Hahahah
Russia wamesema wao hawatoambiwa fulani ndiyo amehusika. Wao watafanya wenyewe uchunguzi.
Russia imeshasema hawataki wasemewe ni yupi kahusika bali wao wenyewe ndiyo watajua nani kahusika.Ni Waislam 🤣 🤣 🤣 🤣
Umewahi kujiuliza why kuna mtu aliyefunga for no reason anachukia mtu asiyefunga akila chakula
Ni kweli kabisa washambuliaji wana walikuwa na mawasiliano na watu wengine walioko ndani ya Ukraine na walitarajiwa kukimbilia Ukraine baada ya shambulio hilo kwa mujibu wa vyanzo vya Urusi.Russia imeshasema hawataki wasemewe ni yupi kahusika bali wao wenyewe ndiyo watajua nani kahusika.
Kwa mujibu wa Russia waliyohusika ukiangalia size ya miili yao na urefu na pia uchambuzi wao unaonyesha wametumia fake mustach na ndevu (kumbuka kuna baadhi ya magaidi wamekamatwa).
Uchambuzi wa awali wa Russia unaonyesha kuwa hawa ni Ukraine na baadhi wamewatambua hivyo!
-Marekani ndiye wa kwanza kusema Isis ndiyo imehusika.
-US ikafika mbele zaidi ikamkingia kifua Ukraine kuwa hahusiki na hili.
Russia inafahamu hii michezo; wao wametoa kauli moja tu; watachunguza wenyewe! Dunia nzima hata mpige kelele mseme ni Isis, yeye atachunguza mwenyewe.
Kamwe Russia hawez kiri ISIS imehusika maana ni fedheha kubwa sana kwake hivyo lazima atafute kisingizio na kwa kuwa yupo vitani na ukraine si ajabu kusema ukraine inahusika.Russia imeshasema hawataki wasemewe ni yupi kahusika bali wao wenyewe ndiyo watajua nani kahusika.
Kwa mujibu wa Russia waliyohusika ukiangalia size ya miili yao na urefu na pia uchambuzi wao unaonyesha wametumia fake mustach na ndevu (kumbuka kuna baadhi ya magaidi wamekamatwa).
Uchambuzi wa awali wa Russia unaonyesha kuwa hawa ni Ukraine na baadhi wamewatambua hivyo!
-Marekani ndiye wa kwanza kusema Isis ndiyo imehusika.
-US ikafika mbele zaidi ikamkingia kifua Ukraine kuwa hahusiki na hili.
Russia inafahamu hii michezo; wao wametoa kauli moja tu; watachunguza wenyewe! Dunia nzima hata mpige kelele mseme ni Isis, yeye atachunguza mwenyewe.
SahihiKamwe Russia hawez kiri ISIS imehusika maana ni fedheha kubwa sana kwake hivyo lazima atafute kisingizio na kwa kuwa yupo vitani na ukraine si ajabu kusema ukraine inahusika.
Haone aibu kwa lipi mkuu?Kamwe Russia hawez kiri ISIS imehusika maana ni fedheha kubwa sana kwake hivyo lazima atafute kisingizio na kwa kuwa yupo vitani na ukraine si ajabu kusema ukraine inahusika.
Haya matukio yanatokea sehemu tofauti tofauti kwa nchi kubwa ambazo sisi dunia ya tatu tunazipa kipaombele, na wadau tofauti tofauti wametoa baadhi ya data kuthibitisha mazingira ya namna hiyo. Labda hoja yako uiweke kiushabiki lakini ukiiweka kimantiki ni suala ambalo linafahamika na halihitaji fikra kubwa juu ya hili.Mkubwa kavuliwa nguo lazima achutame🤣😂
Sio sahihi kwa sababu Urusi sio nchi ya kwanza na wala haitakuwa ya mwisho kukumbwa na mashambulizi kama hayo.Sahihi
TakbiiiirrrrrrrrrKwa hiyo KGB & FSB ambao ndo best intelligencies hawakuweza kung'amua hili mapema mpaka wakaja nyanduliwa vyumbani mwao kabisa??
Takbiiiiiiiiiiiiir
Warusi wenyewe wanajua na hushukuru wakifanikiwa kuzitumia taarifa kikamilifu. Soma hiyo 👇👇Eti walitoa tahadhari
Nani aliwaambia hao magaidi ya 🇺🇸
Huyo US alishindwa nini kumsaidia mpendwa wake Israel juu ya tukio la oct 7?Hatuwezi kusema walikuwa failed state kwa sababu toka 1998 wakati wa mashambulizi yale ya Africa Mashariki walishang’amua kuna maadui wanawinda.
Na ni miaka zaidi ya 20 imepita so kwenye teknolojia ya ulinzi ilibidi mataifa mengine makubwa urusi ikiwemo yawe yameshajitengenezea uwezo wa kuyajua haya mapema ili yasiwakute yaliyomkuta USA sep 11 lakini bado wamezubaa na huyo huyo USA anawasaidia taarifa hizo na kwa kujifanya kiburi wanazipuuza mwisho wananchi wanakufa kama hivi.
Nafikiri wewe si mfuatiliaji wa haya mambo. Ithibati yako inajikita kwenye hisia ya matukio.Kamwe Russia hawez kiri ISIS imehusika maana ni fedheha kubwa sana kwake hivyo lazima atafute kisingizio na kwa kuwa yupo vitani na ukraine si ajabu kusema ukraine inahusika.
Vyovyote vile lakini Russia ameonesha weakness kubwa, tuliishia kuwabeza MOSAD ila kumbe hata KGB nao wanafeli vile vile.Haya matukio yanatokea sehemu tofauti tofauti kwa nchi kubwa ambazo sisi dunia ya tatu tunazipa kipaombele, na wadau tofauti tofauti wametoa baadhi ya data kuthibitisha mazingira ya namna hiyo. Labda hoja yako uiweke kiushabiki lakini ukiiweka kimantiki ni suala ambalo linafahamika na halihitaji fikra kubwa juu ya hili.
Ukiwa kama unafuatilia tangu mzozo wa Russia na Ukraine jumlisha NATO na ukiunganisha matukio jawabu juu ya hili lipo wazi kwa maana yupi anahusika na yupi ahusiki. Ukraine mara nyingi imekuwa ikihamisha attention baada ya kuzidiwa kwenye uwanja wa vita. Tangu mwanzo wa 2022 wamekuwa wakifanya matukio ya kigaidi ndani ya Russia mpaka mwaka huu 2024.
Hivyo, haihitaji fikra kubwa kujua kuwa matukio kama haya huwa yanatokea kwa nchi tofauti tofauti za ulimwengu wa kwanza. Na haihitaji fikra kubwa kujua anayehusika na hilo tukio ni nani: Russia anatambua hili na ndiyo maana wao na vyombo vya habari vya kwao vimekataa taarifa zinazosambaa kusema kuwa Isis ndiyo imehusika. Kumbuka kuna baadhi ya magaidi wamekamatwa. Kwa msingi huo Russia ndiyo itakayokuwa na taarifa sahihi zaidi kuliko hizi zinazosambazwa.
Ikiri vipi kuwa kundi ambalo russia na allies wake iran akiwemo hudai lipo backed na US kuwa ndo limewapa hicho kipigo?Haone aibu kwa lipi mkuu?
Kwani Urusi ni nchi ya kwanza kukibwa na shambulio kama Hilo?
Hiyo ni diplomasia Mkuu tatizo lipo wapi?Warusi wenyewe wanajua na hushukuru wakifanikiwa kuzitumia taarifa kikamilifu. Soma hiyo 👇👇
Putin thanks Trump for CIA intel that foiled a planned terrorist attack in Russia
MOSCOW — Russian President Vladimir Putin on Sunday phoned President Trump to thank him for a tip from the CIA that thwarted a terrorist attack being planned in St. Petersburg.
The unusual call — countries share intelligence all the time, but presidents rarely publicly thank one another for it — was confirmed by White House spokeswoman Sarah Huckabee Sanders.
Putin told Trump that the information provided by the CIA allowed Russian law enforcement agencies to track down and detain a group of suspects who were planning to bomb the centrally located Kazan Cathedral and other crowded parts of Russia’s second-largest city.
“Based on the information the United States provided, Russian authorities were able to capture the terrorists just prior to an attack that could have killed large numbers of people,” the White House said in its readout of the call. “Both leaders agreed that this serves as an example of the positive things that can occur when our countries work together.”
It was the two presidents’ second conversation since Thursday, when they spoke after Putin’s annual four-hour televised news conference, during which the Russian leader mentioned the booming U.S. stock market as an example of Trump’s successes. The White House said Trump thanked Putin for remarks he made “acknowledging America’s strong economic performance.”
Shambulizi la hamas dhidi ya Israel na hili huwezi kuyafananisha na wala haya fanani hata kidogo.Vyovyote vile lakini Russia ameonesha weakness kubwa, tuliishia kuwabeza MOSAD ila kumbe hata KGB nao wanafeli vile vile.
Tutajie huyo the best unayemjua wewe!FSB are the best in the world my foot!!!
Wapi nimesema Kuna tatizo?! Hapo nimejibu hisia kuwa Kwa kuwa marekani alitoa taarifa basi ni yeye kahusika, ndo nikakumbushia hiyo ya 2017 ambapo CIA walitoa taarifa za tishio la kigaidi huko St Petersburg na urusi wakazifanyia kazi na kushukuru kwa taarifa. Sasa wewe umeona wapi nimesema Kuna tatizo?Hiyo ni diplomasia Mkuu tatizo lipo wapi?
Umefuata proper channel taifa moja limemtaarifu taifa jengine. Kama taifa litapokea taarifa zako na litakushukuru. Wewe ulitaka Russia wasemaje baada ya kupokea hizo taarifa?