Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hata Mimi nimeshangaa sana sio Jaji wala Mawakili wa Serikali wanaolitaja hilo jina aisee. Wakina Kibatala wanajitahidi kuchomeka jina linatajwa lakini Jaji na Mawakili wa Serikali wanajifanya hawajalisikia.
Na hawafanyi hivyo kwa bahati mbaya, bali wanajua kesi inaanza kwenda pabaya kuliko madhalimu wa serikali walivyotegemea.