Moses Lijenje aliyetajwa kutupwa na Polisi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni nani?

Moses Lijenje aliyetajwa kutupwa na Polisi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni nani?

Kwanza, unamuomba rais kuingilia mahakama. Kama Mbowe na wenzake hawana hatia, ni kazi ya mahakamas kuamuwa kuwa hawana hatia. Je, kumshauri raisi aingilkie huo ni utawala bora. Kwani wewe una wasiwasi gani? Kama Mbowe hakutenda kosa la ugaidi, ataachiwa.
Mahakama ipo chini ya raisi
 
Mzee mahita kwa nini anaruhusu mtoto wake kutumika kufanya dirt jobs utafikiri kawa kapuku, au mtoto wa nje nini huyu jamaa? Kazi ya mauaji si laana tupu aisee.
Umesahau kuwa IGP MAHITA aliua watu 200+
Umesahau kuwa Omary Mahita alimshauri SIRRO a-deal na wapinzani wiki baada Lissu akapigwa risasi.
Mahita ana watoto wengi inawezekana kila mkoa mimi nilisoma na mwanae alikua mjinga form two alivuka baada vya kurudia safari 4 nae alifariki kwa kuoza maini.
 
Watanzania jinsi walivyowaoga hata raisi wao akitekwa watachukulia poa watakaa kimya woote wataufyata. Hili nalo litapita kama la Azory Gwanda, Ben Saanane na wengine wengi. Safari hii imejidhihirisha kwamba dikteta aliweza kufanya lolote lile hata ndani ya kule TIPIDI na asingeguswa na yoyote.
 
Tumechoka liwalo na liwe. Braza Freeman narudi homu kukuweka huru
Hahahhaaa inasikitisha
Mkuu pole kwa kupoteza marafiki zako Dodoma kwa kuunguzwa na moto wakidhabiwa wanyonya damu. Sasa hivi niko makini kwenye treni na hawa wasomali washika visu.
 
Hii kesi inaelekea kubaya Sana wangekuwa na akili wangeifuta. Hebu ona
Lijenje ni komandoo
Nayeye alikuwa ni sehemu ya watuhumiwa
Lakini hatajwi na hawajasema watamleta kwanini ?
Simply wameshamuuwa Yani polisi wamemuuwa komandooo uwiiii

Halafu jaji kashausoma mchezo, hivyo hataki kabisa kumtaja huyo Lijenje maana anajua itakuwa dhahama. Hawa vyombo vya dola kwani ndio hasa waliokuwa wanajiita watu wasiojulikana. Na kundi hili liliasisiwa kipindi cha JK, na lilikuja kupewa nguvu kubwa sana na Magufuli.
 
Halafu jaji kashausoma mchezo, hivyo hataki kabisa kumtaja huyo Lijenje maana anajua itakuwa dhahama. Hawa vyombo vya dola kwani ndio hasa waliokuwa wanajiita watu wasiojulikana. Na kundi hili liliasisiwa kipindi cha JK, na lilikuja kupewa nguvu kubwa sana na Magufuli.
Hata Mimi nimeshangaa sana sio Jaji wala Mawakili wa Serikali wanaolitaja hilo jina aisee. Wakina Kibatala wanajitahidi kuchomeka jina linatajwa lakini Jaji na Mawakili wa Serikali wanajifanya hawajalisikia.
 
Back
Top Bottom