Hata Mimi nimeshangaa sana sio Jaji wala Mawakili wa Serikali wanaolitaja hilo jina aisee. Wakina Kibatala wanajitahidi kuchomeka jina linatajwa lakini Jaji na Mawakili wa Serikali wanajifanya hawajalisikia.
Ni majasusi hayoDuuu huyu Mahita na Kingai damu za watu zitawarudia.....muda tu
Duh [emoji849] hii kesi nadhani inaweza kutupeleka kusiko tarajiwa.
Ukisikiliza vizuri pasipo kuegemea upande utajua hayaNINI KILIKUWA KINAENDELEA JESHINI?
Je ndani ya jeshi kulikuwa na fukuto kuhusu mustakabali wa nchi kuendelea kutawaliwa na CCM?
Hii kesi inaibua mengi mtambuka kuhusu wanajeshi kuwekwa mahabusu na kuteswa
Sasa tumeelewa maana ya zile maiti za kwenye viroba, hawa MASHETANI wameua watu wengi sana.Hii kesi itawafungua macho wengi. Kituo cha polisi TAZARA mkuu wake ana hadhi sawa na RPC . Kuna watu wengi sana wame***** pale, natumaini siku moja yaliyopo gizani yatamulikwa.
Wewe MA.TTACKO kuna kosa lolote kwa Mwanajeshi kuwa mlinzi binafsi wa kiongozi wa upinzani? Hivi mkiwa huko CCM basi akili zenu mnaziweka m.ku.nduni eti?Ukisikiliza vizuri pasipo kuegemea upande utajua haya
1. Kuna Komandoo kadhaa wamefutwa kazi jeshini.
2. Kuna wanajeshi wanashiliwa kwenye vituo maalum vya polisi.
3. Kuna Komandoo hupelekwa kushughulika na komando walioondolewa na wanashiliwa vituo vya polisi.
1.Unaweza kuhisi kuwa muda fulani kulikuwa na dalili za uasi wa kijeshi
2. Waskari hawa wa kijeshi walijiunga vyama vya siasa na kuanza kutumiwa.
3. Kuna uchunguzi wanaweza uwe wa kweli au la umegundua ikiwa kweli au sio kulikuwa na njama za UGAIDI kwa kutumia wanajeshi walioondolewa.
Hivyo kesi hii sio rahisi kiasi kuanza kuwalaaani akina Kingai au kuwaonea akina Adamoo.
Kunaonekana wengine kupotezwa inaweza kuwa kwa wema au kwa ubaya
Kua mpole KijanaWewe MA.TTACKO kuna kosa lolote kwa Mwanajeshi kuwa mlinzi binafsi wa kiongozi wa upinzani? Hivi mkiwa huko CCM basi akili zenu mnaziweka m.ku.nduni eti?
Jumanne yupo USA RIVER pale wamuita 'mzimu'.Inaonekana vitendo vyingi vya mateso vilifanywa na huyu j4 dhidi ya watuhumiwa,
labda kina kingai wameona cross examination ya j4 zitaibua mengine yasiyofaa kujulikana.
Kurfeeliue.Wewe MA.TTACKO kuna kosa lolote kwa Mwanajeshi kuwa mlinzi binafsi wa kiongozi wa upinzani? Hivi mkiwa huko CCM basi akili zenu mnaziweka m.ku.nduni eti?
Urio naye aliuwawa na mapolisi kama Lijenje?Urio hakuwa Komando pamoja na kuwa Luteni ndio maana alitoa chenji mapema baada ya kufinywa
Bo.gus wewe, tunajadili UHARAMIA wa mapolisi ya CCM wewe unatetea mauaji? PuumbavuKurfeeliue.
Elimu yako haijakusaidia labda kuvukia barabara.
Unadhani wote tunashabikia ushamba wenu wa uccm na ucdm.
Tafakari. Usitumie muda wote M..k.u.ndoo
Naona unaombea yale aliyotaka kuyafanya Mbowe. Wewe huna tofauti na Mbowe, maana unataka kuleta total anarchy and chaos. Tatizo lako wewe ni muoga. Unataka watu wengine ndiyo wakufanyie huo ugaidi. Kitu kama hicho hakitatokea TZ. Na Mbowe atailamba miaka, huenda akaozea jela. Nasikia jela huko kuna mabauncer, mwambie awe na chupi ya chuma.
Luteni Urio mmemficha wapi? Kwanini asiletwe Mahakamani kama bado yuko hai? CCM ndio magaidi wa nchi hii...huwezi kuisikiliza kijeshi.
..wanaoshtakiwa ktk mahakama za kijeshi ni askari ambao wako ktk utumishi wa jeshi.
..Na baadhi ya watuhumiwa ktk kesi ya ugaidi ambao inasemekana waliachiswa kazi kwa makosa ya kinidhamu, maana yake ni kwamba walishtakiwa ktk mahakama za kijeshi na kukutwa na hatia.
We mjinga tu. Upumbavu umekujaa kishabiki. Kati ya hao polisi na Watuhumiwa nani anasema kwa kinywa chake anasema uongo.Bo.gus wewe, tunajadili UHARAMIA wa mapolisi ya CCM wewe unatetea mauaji? Puumbavu
Ndugu zao wasijue wako kituo gani. Umesahau pale mtu anapovamiwa na NOA nyeusi na kutoweka naye na ndugu wakimtafuta kila kituo wanaambiwa hapa hayupo?Mi ninachojiuliza why wawabadili majina lengo lao nini?
Apumzike kwa amani jembe Hamza! Yaan wamefika nimeshika simu mkononi, nimeisahau kidogo mezani akati wanajidai kuzunguka umu ndani tayari washachukua na wakazima,Kwani unadhani Hamza aliwatandika risasi Polisi waliomdhulumu? Polisi wema ni wachache sana.
Mkuu, kuna watu wanaudhi sana. Hakika Hamza alikuwa sahihi kabisa kufanya maamuzi yale.Kua mpole Kijana
Kama yote hayo huna majibu yake, umekuja hapa kufanya nini sana wewe mattacko? Bora ungelifunga tu hayo MASABURI yako.We mjinga tu. Upumbavu umekujaa kishabiki. Kati ya hao polisi na Watuhumiwa nani anasema kwa kinywa chake anasema uongo.
Hujui kuwa hujui ndio tatizo.
Kama Ruling tayari kesi inaendelea ya nini?
Nani amekuambia kuwa hao akina Adamoo ni askari walio kazini?
Unaaminije kuwa akina ACP waliwakuta na na madawa?.
Umeambiwa Urio walimuona. Una uhkika wee farasi.
Kama uko on heat kapigwe mbegu.
Unasikiliza kesi ukiwa na maaamuzi. Ndorooobo
Sibishani na mtu yuko kwenye hedhi, si tatizo lako ni hormone imbalance.Kama yote hayo huna majibu yake, umekuja hapa kufanya nini sana wewe mattacko? Bora ungelifunga tu hayo MASABURI yako.
Kama hujui jambo lolote usijifanye KIHERERE kuandika mambo usiyoyajua, UNAWASHWA WASHWA?Sibishani na mtu yuko kwenye hedhi, si tatizo lako ni hormone imbalance.
Am done