Moses Lijenje aliyetajwa kutupwa na Polisi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni nani?

Wamemtupa Mkuu baada ya kumuua maiti yake kama ya Ben Saanane, Azory Gwanda na Watanzania wengi haitaonekana. Inasikitisha sana.

 
Mzee mahita kwa nini anaruhusu mtoto wake kutumika kufanya dirt jobs utafikiri kawa kapuku, au mtoto wa nje nini huyu jamaa? Kazi ya mauaji si laana tupu aisee.
Dogo mwenyewe amesoma mambele alikua anataka kuwa mfanyabiashara ila mzee ndo alilazimisha aingie Polish

Probably ndo aliyeset mitambo aingie CT huko
 
Dogo mwenyewe amesoma mambele alikua anataka kuwa mfanyabiashara ila mzee ndo alilazimisha aingie Polish

Probably ndo aliyeset mitambo aingie CT huko
huko nje alimaliza shule kweli, sababu sasa hizi kazi si kama za wale maaskari, mabounser, walevi, no education no career, unajua hapa tunazungumzia mauaji sasa. yaani mtu analipwa kuuwa watu.
 
Ni mmoja wapo ya walinzi wa mbowe
 
Director wa hii movie ametengeneza movie ya kihindi imejaa mistakes nyingi.
 
Hii kesi badala ya kuleta amani uraiani kwa kuwafungia gaidi mbowe na wenzake inakoelekea italeta machafuko nchini, kwa sababu hii kesi inaeleweka ni ya kisiasa, sasa haya mambo ya jeshi la polisi kuanza kuonekana linaua watu litawaletea shida hawa askari huku vituoni kwao mitaani.

huyu mama wa kizanzibar nimeishasema afute hii kesi, haya mambo ya askari kuua watu yalikuwa awamu ya tano huko, sasa hawa kina kingai wanataka kuanza kuyaambatanisha na awamu ya sita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…