Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kwenye maelezo ya Kingai ndiye alikuwa anatafutwa pamoja na wale washtakiwa kwa kijiwe baada ya kijiwe. Moshi na Bomang'ombe. walimtafuta hawakumpata.Lakini Moses hakuwahi kupelekwa mahabusu... Labda walitupa juu kwa juu!
Hapo ndio pamenishangaza urio kuteswa, hii itapelekea kina Kibatala watataka urio aletwe mahakamaniHuyu komandoo wa pili anaonekana anayajua mengi hivyo tutajua mengi in advance kupitia kwake. Naona kaibua na linguine la shahidi wa jamhuri luteni mwenzao kuteswa kwanza kids kuibuka akiwa shahidi upande wa jamhuri. Mazingaombwe ya polisi yanaendelea kubainishwa.
Chakushangaza shahidi #2 anasema urio yupo tazara anateswa, wakati nilitarajia urio aje mahakamani kutoa ushahidi upande wa jamhuriUrio ndio alikuwa awe Shahidi namba moja wa Jamhuri,lakini ghafla hajaletwa Mahakamani,kuna kitu sio bure.
Hawa watu walizoea kupoteza watu ambazo hizi ni mbinu za kijinga na kizamani, kishamba na ulimbukeni. Leo hii wako wapi sukuma ngang likiongozwa na Bashite. Wako wapi kina Lengai ole Sabaya, wako wapi kina Dotto James na sauti zao. Ushauri wangu tuache kufukuwa makaburi, wale tunaohisi wametukosea tuwaite tuwaombe wafunguke. Tuwasamehe na kufungua ukurasa mpya kwa maslahi mapana ya taifa.Wakati shahidi namba mbili na mshitakiwa namba tatu Mohammed Abdilah Ling'wenya wa kesi ndogo katika kesi ya Ugaidi inayowakabili kina Mbowe alimtaja Mosses Lijenje kudaiwa kutupwa na polisi wakati akifanyiwa vitisho.
Mallya: Kitu gani Kiliendelea..?
Shahidi: Maaskari wakasema Mwenzenu Moses Lijenje tumeshamtupa, Ameshatangulia huku wakinigusa Kichwani na Kitu nilichokuwa nahisi kuwa ni Bastola, Ukileta Ujanja Ujanja na wewe tunakutupa
Utopolo 🖕Mbowe si alikuwa analilia kutaka Maridhiano ?
Sherehe za kitaifa zote anahudhuria hata bila kualikwa na kulilia mapatano.
Mwambieni hayo ndiyo majibu ya maombi yake ya kulilia maridhiano.
Najua mwisho wa siku atashinda kesi ili arudi kulilia mapatano.
Tumechoka na maigizo ya huyo
Gaidi wa Demokrasia.
Dicteta anaye ng'ang'ania madaraka katika zama za democrasia.
Na kuendesha siasa za maigizo na kuzuga wananchi.
Mpizani wa kweli nchi hii alikuwa Marehemu MTIKILA TU.
R.I.P. Shujaa wetu wa mageuzi
R.I.P. D.P. Party
Wangine wote ni janja janja tu.
Huyu Gaidi mwacheni alilie kupatanishwa na Chai ya Ikulu.
yaani wauaji wanasimamia kesi wanaodaiwa kuwa wapanga mauaji.
Haswa, Ila hajaitwa kutoa ushahidi, wamestuka.Huyu jumanne ndiyo yule dereva?
Lakini huwezi kutoa msamaha kwa mtu ambaye hajakiri kufanya maovu. Reconciliation inahitaji upande uliofanya makosa ukiri na kuomba kusamehewa.Hawa watu walizoea kupoteza watu ambazo hizi ni mbinu za kijinga na kizamani, kishamba na ulimbukeni. Leo hii wako wapi sukuma ngang likiongozwa na Bashite. Wako wapi kina Lengai ole Sabaya, wako wapi kina Dotto James na sauti zao. Ushauri wangu tuache kufukuwa makaburi, wale tunaohisi wametukosea tuwaite tuwaombe wafunguke. Tuwasamehe na kufungua ukurasa mpya kwa maslahi mapana ya taifa.
Tulio wengi humu huwa tunasoma kile tu kilichoandikwa humu, huwa hautuwezi kabisa kuchanganya na za kwetu!Zaidi ya yote mtu unatakiwa kujiuliza kwa nini wanajeshi wametumika hapa na wamekamatwa na most of them ni Komando kwanini komando? kulikuwa na tishio gani la usalama kwa mbowe mpaka alindwe na komando au Komando wahusike kwenye chama cha siasa?
Hiyo "hawakuwahi kumpata" pengine ni hitimisho la ushiriki wa Moses kwenye tamthilia ya Kingai na Mahita.Huyu kwenye maelezo ya kingai ndiye alikuwa anatafutwa pamoja na wale washtakiwa kwa kijiwe baada ya kijiwe. Moshi na Bomang'ombe. walimtafuta hawakumpata.
Wawatishe kivipi? Kumbe sasa wameidanganya mahakama kuwa walizunguka na kina Adamoo kumtafuta Moses Linjenje na hawakumpata ndipo wakaenda Dar?Inawezekana hakutupwa vilevile Ila kutupwa ikawa ilikua sehemu yakutishia wengine wakili ubunifu wakipolisi dhidi ugaidi wambowe
wewe mpumbavu unachangia mada gani?Mbowe si alikuwa analilia kutaka Maridhiano ?
Sherehe za kitaifa zote anahudhuria hata bila kualikwa na kulilia mapatano.
Mwambieni hayo ndiyo majibu ya maombi yake ya kulilia maridhiano.
Najua mwisho wa siku atashinda kesi ili arudi kulilia mapatano.
Tumechoka na maigizo ya huyo
Gaidi wa Demokrasia.
Dicteta anaye ng'ang'ania madaraka katika zama za democrasia.
Na kuendesha siasa za maigizo na kuzuga wananchi.
Mpizani wa kweli nchi hii alikuwa Marehemu MTIKILA TU.
R.I.P. Shujaa wetu wa mageuzi
R.I.P. D.P. Party
Wangine wote ni janja janja tu.
Huyu Gaidi mwacheni alilie kupatanishwa na Chai ya Ikulu.
Sijachangia kitu....., jamani tupunguzeni ukali wa maneno tafadhaliwewe mpumbavu unachangia mada gani?
sisi tunajadili kwa uchunguzi binadamu mwenzetu inasemekana katupwa,yeye analeta attacks kwa MboweSijachangia kitu....., jamani tupunguzeni ukali wa maneno tafadhali
Kwanza mungejiuliza Wakati Ben Saanane anapotea miaka hiyo nani alikuwa mkuu wa kituo Tazara na nani alikuwa mkuu wa kituo Mbweeni labda inaweza saidia kuunganisha na kujua Ben alipoteajeKuna watu wengi sana wameuawa pale, natumaini siku moja yaliyopo gizani yatamulikwa.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827]
Kuna mengi hii kesi inatufundisha aiseeeNa laki tatu ya shahidi wa pili nayo wameinywa