Moses Machali, bila kutumia busara za kiuongozi, anguko lako la kisiasa litatokea Bukoba. Samia anataka majadiliano, wewe umefunga maduka Wilaya nzima


Please Machali hakua CHADEMA, alikuwa NCCR Mageuzi akahamia ACT Wazalendo.
 
Naona umeguswa chembe YA Moyo Tulia hivyo hivyo dawa iwaingie maana mmezid kusifu Na kusujudia
 
Aisee. Yaani CCM, chama tawala, iingie msituni dhidi ya mtawala kutafuta haki? 🤣🤣
 
Mbowe anaumwa sana, tezi dume liko hatua za mwisho, ameenda marekani kujaribu kuokoa maisha
Kumbe wewe ndiye nyumba ndogo ya Mbowe !!! Kwa hiyo alikuwa hakuweki kitu sawa sawa ndiyo ukamshauri akatibiwe ili akirudi akufokoe vizuri
 
Sasa hivi utamsikia chali
 
Bwana Machale Hana fadhila huyo Kule Nanyumbu Mtwara,alifumainiwa na Mke wa Askari,DED wake wa wakati huo bwana Dammbaya akaingilia Kati akalipa mil kumfichia aibu.

Matokeo yake baadae akamtengenezea bifu kubwa tu na kuomba ukaguzi Maalum kwa zaidi ya mara tatu ili mwenzie aondolewe
 
Eeehh, atamuacha Dada mrembo, mweupe, Kadole Kilugala, ila kama hajipendi ajaribu, pale ni maji marefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…