Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Halafu akina mama wengi wabinafsi balaa sijui kwa nini?Kuna kitu nitakielezea kidogo kwenye hizi issues za vijana kuua mama zao unaeza kuona mauaji mengi yanatokea kwa kina mama zaidi ushajiuliza ni kwann zaidi ya kusema ni tamaa ya mali na roho mbaya? mm nimeishi na mama yangu sana nakumbuka kipind flan alikua ananiambia hapa sio kwako tukizeeka tutauza hii nyumba nikiwa yanki unadhan kweny nafsi ananitengenezea nini zaidi ya chuki?
Tamaa ya pesaHawa wachaga Wana shida gani? Tamaa, wizi, magendo na utapeli! I will kill them these idiots
Hii pisi ni Mafia na inalanduka mmea hata ukiitazama tu ni hatari danger
Mwaka 2017 nilienda kuwatembelea wafungwa wa kike pale gereza la karanga mjini moshi..aisee niliona wanawake wazuriii ...nilimuhoji mmojawapo akaniambia alikamatwa na madawa ya kulevya uwanja wa ndege wa KIA...aisee yule mwanamke alikuwa mzuri balaa nahisi kwa sasa atakuwa na mtoto mle ndani...Hivi ikatokea mfungwa wa kike akapata mimba huwa inakiwaje ?
Daah! Aisee.. kwa hio ni sawa kumuua mama yako kisa anakwambia hivo.. Dunia imekwishaKuna kitu nitakielezea kidogo kwenye hizi issues za vijana kuua mama zao unaeza kuona mauaji mengi yanatokea kwa kina mama zaidi ushajiuliza ni kwann zaidi ya kusema ni tamaa ya mali na roho mbaya? mm nimeishi na mama yangu sana nakumbuka kipind flan alikua ananiambia hapa sio kwako tukizeeka tutauza hii nyumba nikiwa yanki unadhan kweny nafsi ananitengenezea nini zaidi ya chuki?
Inafaa ukae chini na uombe msamaha kwa Mungu wako aliye mbinguni. Kama ni muislamu basi sema Astaghfirullah mara mia moja, kama ni mkristo utajua vya kusema.Hayo yote kwanza ni wajibunwa mzazi usianze kusemankuwa ni fadhila. Wee unaleta mtoto duniani hujui kuwa ni jukumu lako kumlea mpaka awe mkubwa na anajitegemea?
Tena as a matter of fact mpaka mtoto anafikia hatua ya kukuua mzazi means wewe kama mzazi ulishindwa kumlea vizuri huyo mwanao.
Nakwambia hivi nikiwa na background ya criminal psychology, mtoto mpaka kifikia kumua mzazi kuna sehemu mzazi alishindwa majukumu yake kama mzazi.
Dunia ina wazazi wakipuuzi sana ambao hawakustahili kuwa wazazi to begin with.
Ndiyo shida yenu nyinyi muliolelewa kwa chupa na kubembelezwa. Baada ya kukufanya utafakari maneno ya mama kuwa anakutanabahisha kwamba ujitayarishe na maisha usisubiri mirathi, ati wewe ndiyo unaona anakujengea chuki.Kuna kitu nitakielezea kidogo kwenye hizi issues za vijana kuua mama zao unaeza kuona mauaji mengi yanatokea kwa kina mama zaidi ushajiuliza ni kwann zaidi ya kusema ni tamaa ya mali na roho mbaya? mm nimeishi na mama yangu sana nakumbuka kipind flan alikua ananiambia hapa sio kwako tukizeeka tutauza hii nyumba nikiwa yanki unadhan kweny nafsi ananitengenezea nini zaidi ya chuki?
Nenda nyuma kwenye historia ya hiyo familia utagundua kuwa mzazi kuna uzembe ambao alileta ndio maana mtoto akai gia kwenye madawa ya kulevya.Inafaa ukae chini na uombe msamaha kwa Mungu wako aliye mbinguni. Kama ni muislamu basi sema Astaghfirullah mara mia moja, kama ni mkristo utajua vya kusema.
Hiyo criminal psychology yako haijakupa uzoefu wa kutosha kuhusu facts of life. Tumeona watoto wamelelewa na wazazi wema kabisa lakini wao baadae wakaanza na madawa ya kulevya na kadhalika na wakaishia pabaya sana.
Tafuta zako,kwanza mimi mtoto akimaliza chuo simtaki nyumbn.Ni uchoyo wa kipuuzi ,kama ushawahi soma kitabu cha "The richest man in Babylon"utaona Arkad, anampatia mwanae hela za kusimama kiuchumi ,wahindi na waarabu wapo hivyo pia.wazazi wakibongo ni wachoyo mno...
Kabisa yaan ,unaona mwanao kakua,yupo yupo tuu,licha ya kuwa na elimu.Kwanini usimpe mtaji, wa kusimama kiuchumi ?Kama uwezo upo....Hata Donald Trump alipewa hela na dingi yake Dola milioni mbili aanze biashara japo ulikuwa mkopo usio na riba wala muda maalum wa kulipa.
Sikia ,unategemea nani kwa mfano ampatie mwanao ajira?Kama uwezo upo, toa kidogo mwanao asimame kiuchumi.Watoe urithiii??
Kwani wapi panaposema mali za wazazi lazima wapewe watoto.
ndiyo maana wengine wanapeleka wakf.
Bora hata akupigie pasi ya kazi au akufundishe biashara.Kwetu wabongo ni shidah mno,akikupatia elimu anakutelekeza mazima.Mi nimesoma na kuishi na wahindi, hampi mwanae hela ya urithi akiwa hai..atamfundisha kazi tu na kumpa connections..hii mitoto yetu (baadhi) hata ukiipa kazi itaharibu tu...starehe na showoffs nyingi
Sikia ,unategemea nani kwa mfano ampatie mwanao ajira?Kama uwezo upo, toa kidogo mwanao asimame kiuchumi.
Kama una daladala 5 ,ukimpatia moja mwanao hata kwa mkopo, kwamba baada ya muda fulani ,awe amepata lake kupitia hilo basi moja.utapungukiwa nini?Kama ni msoaji wa bibilia, utapata sikia kisa cha mwanampotevu.
Elimu ni basic need na siyo urithi,kama mnavyo chukulia....
Kuna kitu nitakielezea kidogo kwenye hizi issues za vijana kuua mama zao unaeza kuona mauaji mengi yanatokea kwa kina mama zaidi ushajiuliza ni kwann zaidi ya kusema ni tamaa ya mali na roho mbaya? mm nimeishi na mama yangu sana nakumbuka kipind flan alikua ananiambia hapa sio kwako tukizeeka tutauza hii nyumba nikiwa yanki unadhan kweny nafsi ananitengenezea nini zaidi ya chuki?