Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Mkuu ukitajirika unauliwa ili hao jamaa dada Yao awape Mali yako ili wadunde.Mie nineoa huko tena ukoo wa kawaida tu Ila nawaona mashemeji usipowapa hata lift au kuwapa support wakati wa sikukuu sababu pia kuna Bibi wa watoto wangu nao wanahitaji kuwa nae wakati wa likizo nyingine, wengine wanakuja mwaka mpya tu Ila wakizipata Wana tabia ya kishenzi sana wanakusahau uliyemsaidia tena especially sisi tunaotoka mikoa mingine
Tumuone basi huyo binti...na upisi wake na jinsi atakavyonyea debeBinti mwenyewe pisi fulani anaonekana
Kwa tukio alilofanya unaweza kushangaa
Mali hizi zitawatoa roho watu
Ova
Umekomaa kweli kweli na ukabila; toa maoni yako hapo: Mtoto amuua mama yake mzazi kisa mali - 2 Eyez MediaMkuu ukitajirika unauliwa ili hao jamaa dada Yao awape Mali yako ili wadunde.
Jitahidi uwawezeshe iyo lazima uchagani Kama umeoa.
Mana huwezi kuwa na Mali na ndugu wa mke wanateseka watakakumaliza upumzike kwa amani
Daaaaah binti anaonekana Wife Material kabsa ukikutana nae road unaapa viapo vyote kua lazima awe wako na kujuta majuto yote hadi kujikana nafsi endapo hutamweka kwenye himaya yako, moyo wa mtu ni kichaka na maisha yana siri nyingi sana [emoji846][emoji846][emoji846][emoji846]Hao hapo mama na bintiView attachment 2075212
Kuua na kuolewa nayo kazi kaka....wengi tuu wanashindwaTafuta pesa we kenge unategemea kuua upate mali utaolewa au utaishia jela
Ukikua siku moja utakutana na matukio ya kinyama zaidi ya kuua, dunia kila siku ina mambo mapya yapo ambayo unaweza ukafa bila kuyasikia lakin yanafanyika ila tatzo la ubinadam ni unafki mchawi ataua na atakula nyama ya binadam lakin atajidai anasikitika kuona mtu alieua akazikaHivi Kuna unyama mkubwa zaidi ya kuua?
Ndio hizi Mimba za bahati mbaya...Eeh safi hii fundisho kwa wale wazazi wanaoendelea na ule msemo wa "hizi zangu katafute zako"
Sasa nikitumia za mzazi kupata hizo zangu shida ipo wapiNdio hizi Mimba za bahati mbaya...
Tafuta zako acha kuwa mumiani..
Duh hii hatariMOSHI: BINTI AMUUA MAMA YAKE MZAZI ILI ARITHI MALI, MWILI WAGUNDULIWA BAADA YA MWAKA MMOJA
• Meya Juma Raibu ashindwa kujizua amwaga machozi na kulaani vikali, awaasa vijana kuacha tamaa na starehe
•Meya Raibu ampongeza Rpc Kilimanjaro ACP Simon Maigwa na timu Yake Kuendelea Kusikiliza Na Kutatua Jinai Mbali Mbali
Ikiwa zimepita siku kadhaa toka litokee tukio la kijana mmoja jijini Arusha kumuua mama yake mzazi Kwa tamaa ya Mali, Limegundulika tukio lingine la kinyama mkoani Kilimanjaro katika Manispaa ya Moshi ambapo binti mmoja aliejulikana Kwa jina Moja la Wendy amemuua Mama yake mzazi (Mama Ipepu) ambae ni Nesi mstaafu wa Hospital ya KCMC.
Jeshi la Polisi limeufukua Mwili huo leo tarehe 09-01-2022 katika kata ya Rau baada ya kumhoji binti huyo Kwa zaidi ya wiki mbili sasa Kisha kukiri kumchinja mama yake Kwa panga na kumfukia nyumbani hapo.
Ni takribani Mwaka sasa ndugu na majirani walipokuwa wamuulizia mama huyo walipatiwa majibu na binti huyo kuwa amesafiri Kwa matibabu nje ya nchi.
Akizingumza Kwa uchungu huku akilengwalengwa na machozi Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Ndg Juma Raibu ameonesha kusikitishwa na kitendo hicho na amelaani vikali tabia ya vijana kuendekeza tamaa na kukosa uvumilivu wa utafutaji Mali Kisha wanaishia kufanya matendo ya kinyama.
Namnukuu
"Kiukweli hili ni tukio la kutisha, nitoe pole Kwa familia ndugu na majirani wote mliofika hapa, nimepata huzuni sana kuona jinsi gani ya taamaa Mali imetufikisha hapa, nalaani na ninatoa wito Kwa vijana wenzangu wote nchini kuacha kupaparikia Mali na starehe mwisho wake tunageuka kuwa wanyama kiasi hiki, yaani unamuua mama mzazi? hivi unakuwa huoogopi laana na adhabu ya mola? nalipongeza Jeshi letu la Polisi Kwa hatua hii nawatia Moyo mwendelee na kazi hii njema ya kufichua na kudhibiti wahalifu wa namna hii na wanaoshirikiana nao"
mwisho wa kunukuu.
Tayari madaktari wameanza kufanyia uchunguzi wa postmortem Mwili huo kwajili ya hatua zinazofuata.
#MoshiBlog UpdatesView attachment 2075108View attachment 2075109
Sio lazima Ni hiyari..Sasa nikitumia za mzazi kupata hizo zangu shida ipo wapi
Basi tutatumia njia ya huyo binti kufanya iwe lazimaSio lazima Ni hiyari..
Pole kwa wazazi... ..Basi tutatumia njia ya huyo binti kufanya iwe lazima
Kabisaa.....bora ujigegede tuu bila kuleta mitoto ambayo baadae inakuja kukudedksha kisa ucho wako mwenyewe mzazi. Vijana tule tuu mbususus haya mambo ya kuzalisha kama muonavyo, nikujiletea kifoPole kwa wazazi... ..
Kuzaa si kupata...
Ndio hataki na pesa yake, tafuta zakoSasa nikitumia za mzazi kupata hizo zangu shida ipo wapi
Sasa atakataaje tena wakati mie ndio mtoto wake? Haoni kuwa hiyo ni rroho mbaya tuu? Yaani mtoto ateseke huko wakati mie ninauwezo wakumsaidia as long as haendi kufanya kitu kinyume na sheria za nchi....hapo sasa sioni faida ya kuwa mzazina mtoto nae hataona faida ya kuwa na mzazi mwenye uwezo kiuchumi.Ndio hataki na pesa yake, tafuta zako
Syo wote mkuu, kuna baadh ya watu wamejawa na roho za kishetani na tamaaa .Kwa mchaga kuuwa iliapate pesa ni jambo la kawaida
USSR
Kila mtu ana ushetani wake, s wachaga tu. Mbona kuna wachaga wametulia hawana tamaa za kishetani, na je yule aliyemuuza Yesu n mchaga[emoji2955].Kila siku tunasema ......wachaga sio wa kuoa ........mnakua wabishi
Ona Sasa wameanza kuwahishana wao kwa wao
Anyway huu ni unyama mkubwa