Ndio watafute za kwao kwa kutumia hizo za kwako wewe mzazi. Tatizo lipo wapi hapo?Kwani uongo?! Watafute zao kweli. Hata wakiendelea kuuwa wazazi ndio itasaidia?! Ni uvivu tamaa kukosa mbinu akili duni ndio inawafanya wawe majinga kutokutafuta zao. Na wafanyayo haya wafie jela au wafe kwa kamba tu