Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

Unawajua watoto wa dot com, insta, Facebook unawasikia?? Hujazaa wala kukuza mkuu, ulevi ni changamoto!

Wanabweteka unawaona kabisa, wakijua ukifa watakuwepo wakitafuna jasho lako ovyo.

Kuna mahali tulikosea tulipoondoa viboko na adhabu, tukaingiza uzungu.
Wenzetu wazungu. Wanafundisha social responsibility, Ku tidy up toys, organizations kama wazazi wetu vijijini wanavyofanya, sisi mijini kila kitu dada WA kazi, mtoto katupa nguo viatu matoy dada awajibike, mtoto anapikiwa, anapakuliwa, anakula hatoi wala kuosha hata sahani yake.

Bladifakeni😕 naogopa Sana nionavyo tunavyolea watoto siku hizi, kila siku nawaambia. Mama Yao ni mke wangu wakue watafute vyao, wake zao wakuwatesa. Na wanajua kuwaona mama zao, na mama zao wanawadekeza.
Eti tuwajengee, too hell navyojenga vyangu nikimalizana kusomesha nauza kimojakimoja nakula taratibu Kwa sababu hata ukiwaachia watauza.
🤣🤣🤣🤣 Hatari so unapiga bei. Usifanye hivyo bwana. Nakubaliana na wewe kuwa malezi siku hizi ni ya hovyo kabisa ndio maana tunaishia kuwa na watoto wa hovyo. Sasa litoto mpaka linakuwa lilevi wewe mzazi upo wapi?

Kama una mihela mzee ya kuwajengea watoto wajengee tuu bila shida. Suala la wao kuuza wakati wee umeshakuwa six feet under lisikupe tabu maana kwanza hutajua hilo maana upo kwenye ulimwengu wa wafu
 
Jeshi la Polisi limeufukua Mwili huo leo tarehe 09-01-2022 katika kata ya Rau baada ya kumhoji binti huyo Kwa zaidi ya wiki mbili sasa Kisha kukiri kumchinja mama yake Kwa panga na kumfukia nyumbani hapo.
Mungu Wangu!!!!
 
... kuishi Moshi haimaanishi ni mchaga na hata kama angekuwa mchaga haimaanishi ethnicities wengine hayo matukio hayapo na hata yakiwepo kwingine haimaanishi jamii nzima inafanya hivyo; rather, ni tabia binafsi ambayo huwezi kui-populate kwa jamii nzima. Right?
No mchagga
 
Kama ulishawahi kuishi Kilimanjaro maeneo ya uchagani na Wilaya zake....ukitazama kwa umakini harakati za Wana jamii, haiba na mienendo ya Wana jamii waliokuzunguka na mitazamo yao juu ya maisha unagundua kuwa kuna tatizo mahali.

Katika hali ya kawaida wachaga ni watu wastaarabu, waungwana na wenye kujitoa sana ila tu wapo obsessed na upatikanaji wa mali......wazee wa kichaga waliihamishia obsession hiyo kwenye kupambana kila Kona ya nchi hii.....na matokeo yameonekana.....ni dhahiri kuwa ni moja kati ya makabila yaliyo fanikiwa sana kiuchumi na kielimu.

Hilo halina ubishi ukikanyaga tu mji wa Moshi utajua kuwa nipo kwenye mji wa watu waliopiga hatua kimaendeleo kuanzia ubora wa makazi ya watu, huduma za kijamii na shughuli za kiuchumi.

Uharibifu umeanzia hapa kati kati baada ya kuzuka kizazi cha vijana wavivu wasiojituma kwenye kazi na wasio na nidhamu kwenye frdha kwa kuendekeza starehe za pombe na wanawake.

Kizazi hichi Cha watu wavivu kinachoamini katika njia ya mkato kwenye mafanikio ndio kimezusha na kuzalisha matendo yasiyokuwa ya kiungwana kibinadamu kwenye jamii za kichaga na kuipaka matope.

Haya matukio ni muendelezo wa harakati za hicho kizazi na yatakuja matukio mengine mengi mpaka pale watakapo rudi kwenye mstari kuwa mafanikio ni kujituma na kuwa na nidhamu katika matumizi ya pesa.
Hiyo familia haina damu ya kichaga baba alikua mwarabu koko,mama nae shombe,ni wahamiaji hao
 
Mama alikuwa nesi???kcmc!

Matukio mengine tusiangalie upande mmoja.


Kuna vifo vingi sana vinavyosababishwa na dharau na uzembe wa ma Dr. na manesi wetu hapo tuache deal za kuuza viungo vya binadamu.


Huyu mama inawezakana kabisa kashiriki katika mauaji mengi sana huko hospitali kiasi laana imemfuata ...

Tuwe makini sana sie ambao tupo katika sehemu za kusaidia watu wemye matatizo

Makanisani,hospitalini Na kadhalika.

Matendo yetu uwaga yanahukumiwa hapa hapa dunia kama sio sisi basi kizaZi lazima kilipe.

Kwa upande mwingine vijana tuache short cut za maisha sasa hata hizo mali atazifanyia nini
Mmmh. Kisa tu umeona nesi??
 
Umesema ukweli na uhalisia.

Zimebaki sifa tu.

Sasa hivi mtu akifa huwezi kukuta hata wanahuzunika na kulia. Ni kunywa pombe na nyama.

Ni fursa kwa kwenda mbele, watu wanaangalia kaacha nini na kwa nani.

Migogoro ya vihamba na mali ni kama maji ya kunywa.
Hao waarabu koko wahamiaji,yani familia inaambiwa mama kaenda kutibiwa india,mwaka mzima hawajui yuko wapi?hiyo familia wanatatizo...familia zenye mshikamano wanagundua hilo jambo haraka yani wiki tu
 
Ukabila gani wakati ni kawaida mkuu. Sasa huyu kaua mamaye wa kumzaa atashindwa kuua mmewe ambaye Hana undugu naye Kama yule wa dumila kuwa huyo fala mmeshamaliza ama yule mkikuyu aliyemuua mholanzi akamuweka kwa shimo Cha choo jumlisha huyu dogo Arusha aliyeua mamaye akamchimbia kwa septic tank.
Sema unataka uonekane wako watakatifu Sana .
Yaani ndugu yangu akioa Kilimanjaro nitapambana Sana mpaka asioe yaani nitatishia mpaka kujiua
Na yule dada aliyemwasha petrol mchumba wake hapa dar...
 
Ni uchoyo wa kipuuzi ,kama ushawahi soma kitabu cha "The richest man in Babylon"utaona Arkad, anampatia mwanae hela za kusimama kiuchumi ,wahindi na waarabu wapo hivyo pia.wazazi wakibongo ni wachoyo mno...
Vipi yupe dogo bonge wakichaga clip inasambaa amefungwa pingu alienda iba na kenta kabisa dukani kwa baba yake ILHALI BABA ALISHAMFUNGULIA BIASHARA YAKE ..ila akaona akaibe na kwa baba??
 
Hata Donald Trump alipewa hela na dingi yake Dola milioni mbili aanze biashara japo ulikuwa mkopo usio na riba wala muda maalum wa kulipa.
Wazaz wanafanya sana haya kwa watoto wao...ILA NI KWA WATOTO WENYE AKILI...ukiwa zwazwa baba hakupi kitu...anajua utapoteza tu mtaji wake...
 
Eti ni watafutaji, na walipoguswa kuua waume zao ili warithi mali wazazi wao walisimama kidedea kuwatetea Sasa wamegeukiwa wao, punguzeni tamaa hii sasani aibu mmezidi khaaa
Baba mwarabu koko mama alikua chotara wa kizungu kwababa na mama mchaga...basi alaumiwe mwarabu koko sio wachaga,nenda huko kanda ya ziwa hakuna wiki husikii mauaji,nao watakua wachaga
 
Wewe jua laana inatafun vizazi

Kwahiyo kama unacholopoa mimbaza watu huko hospitalini ujue UTALIPA
Ndo maana nasema kuwa wewe una down syndrome kali kabisa.

Una ushahidi wowote kuwa marehemu alikuwa anashiriki uhalifu wowote wa kimatibabu huko kazini kwake?

Au wewe unatumia kasumba kwamba polisi mmoja akikuzabua baso woote ni wazabuaji?

Acha kutetea mauaji. Kiu yako ya damu inaweza kusababisha maafa kwa familia yako. Unaweza kuua wewe ukisema unamsaidia Mungu kutekeleza hukumu yake.

Tutolee ujinga hapa
 
Wewe jua laana inatafun vizazi

Kwahiyo kama unacholopoa mimbaza watu huko hospitalini ujue UTALIPA
Inaonesha wewe una ujamaa na huyo binti muuaji. Sasa unatapatapa mitandaoni kusaka ushahidi wa kimazingira ili kumnasua muuaji mwenzako
 
Picha yake tumwone muuaji
Huyu hapa.
IMG-20220110-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom