🤣🤣🤣🤣 Hatari so unapiga bei. Usifanye hivyo bwana. Nakubaliana na wewe kuwa malezi siku hizi ni ya hovyo kabisa ndio maana tunaishia kuwa na watoto wa hovyo. Sasa litoto mpaka linakuwa lilevi wewe mzazi upo wapi?Unawajua watoto wa dot com, insta, Facebook unawasikia?? Hujazaa wala kukuza mkuu, ulevi ni changamoto!
Wanabweteka unawaona kabisa, wakijua ukifa watakuwepo wakitafuna jasho lako ovyo.
Kuna mahali tulikosea tulipoondoa viboko na adhabu, tukaingiza uzungu.
Wenzetu wazungu. Wanafundisha social responsibility, Ku tidy up toys, organizations kama wazazi wetu vijijini wanavyofanya, sisi mijini kila kitu dada WA kazi, mtoto katupa nguo viatu matoy dada awajibike, mtoto anapikiwa, anapakuliwa, anakula hatoi wala kuosha hata sahani yake.
Bladifakeni😕 naogopa Sana nionavyo tunavyolea watoto siku hizi, kila siku nawaambia. Mama Yao ni mke wangu wakue watafute vyao, wake zao wakuwatesa. Na wanajua kuwaona mama zao, na mama zao wanawadekeza.
Eti tuwajengee, too hell navyojenga vyangu nikimalizana kusomesha nauza kimojakimoja nakula taratibu Kwa sababu hata ukiwaachia watauza.
Kama una mihela mzee ya kuwajengea watoto wajengee tuu bila shida. Suala la wao kuuza wakati wee umeshakuwa six feet under lisikupe tabu maana kwanza hutajua hilo maana upo kwenye ulimwengu wa wafu