Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

pisi
FIuCUPZXsAAV8rh.jpeg
 
Ndiyo upo unyama zaidi ya huo ila kwakua wote mnajidai vijukuu vya mitume humu mnajidai kwamba ni unyama sana hamjawahi kuuskia unyama zaid ya huo
Utaje huo unyama unaozidi kumchinja binaadam mwenzio kama kuku na kumfukia kama mzoga wa panya na huyo binaadam ni MAMA YAKO MZAZI.
 
Baba mwarabu koko mama alikua chotara wa kizungu kwababa na mama mchaga...basi alaumiwe mwarabu koko sio wachaga,nenda huko kanda ya ziwa hakuna wiki husikii mauaji,nao watakua wachaga
waarabu koko wenye asili ya uchagani😂😂 endelea na maisha raia zinawajua vizuri hata uandike maelfu ya kurasa mnajulikana😂😂😂
 
Mtoto wa kike unamuua mama yako.

Yuko mmoja huku amesema ni jirani yao.

Hebu ongeeni kidogo ni moshi ipi, na huyo binti je kaolewa na je yuko mtoto pekee yake, na je hata hapo kcmc marehemu alipostaafia hakuna hata aliyeshtuka kuona mama haendi hata kuhakiki ofisini.

Je ugomvi wao ulikuwa ni nini na je binti ameenda shule?

Semeni kidogo.
 
Hayo yote kwanza ni wajibunwa mzazi usianze kusemankuwa ni fadhila. Wee unaleta mtoto duniani hujui kuwa ni jukumu lako kumlea mpaka awe mkubwa na anajitegemea?

Tena as a matter of fact mpaka mtoto anafikia hatua ya kukuua mzazi means wewe kama mzazi ulishindwa kumlea vizuri huyo mwanao.

Nakwambia hivi nikiwa na background ya criminal psychology, mtoto mpaka kifikia kumua mzazi kuna sehemu mzazi alishindwa majukumu yake kama mzazi.

Dunia ina wazazi wakipuuzi sana ambao hawakustahili kuwa wazazi to begin with.
Kumbe jibu unalo kuwa ukishakuwa mtu mzima unapaswa kujitegemea.

Embu sema basi kulingana na hiyo background yako ya criminal psychology ni sehemu gani ya malezi mzazi akishindwa majukumu yake inapelekea mtoto kumuua mzazi kisa mali?
 
Kumbe jibu unalo kuwa ukishakuwa mtu mzima unapaswa kujitegemea.

Embu sema basi kulingana na hiyo background yako ya criminal psychology ni sehemu gani ya malezi mzazi akishindwa majukumu yake inapelekea mtoto kumuua mzazi kisa mali.
Malezi mabavu kama vile kugegedwa na mzazi wake kupigwa au mateso ya namna yoyote ambayo yanajenga chuki kuelekea mzazi.
 
Malezi mabavu kama vile kugegedwa na mzazi wake kupigwa au mateso ya namna yoyote ambayo yanajenga chuki kuelekea mzazi.
Hivi unaweza kutamani kuishi kwenye nyumba ambayo inakupa kumbukumbu za mateso na mambo yote hayo?
Unaweza ukamchukia mtu alafu ukapenda mali yake?
Labda uniambie Chuki ya mzazi na mali vinaendana vipi?
 
Kitu kimoja lazima uelewa hawa watu akili zao zipo wired differently.....sio kwamba anatamani kuishi kwenye nyumba ya mzazi wake bali anataka kitumia hiyo kama nyezo ya kutimiza mambo yake mwenyewe.

E u chukulia mtu ambaye ana chuki dhidi ya wanawake but yet anataka mbususu yao. Ni ile feeling ya power.
Mali sii inatumika kwa yeye kukidhi material needs zake.
 
Binti? Akachimba kaburi akamzika mwenyewe? Hapana kuna msaidizi hapo sio bure. Huo ujasiri aliutoa wapi? Tuseme alimuua bahati mbaya labda kwa kumsukuma je kumzika? Hii ni zaidi ya unyama
Wapo na tayr wananyea ndoo mda huu
 
Mtoto wa kike unamuua mama yako.

Yuko mmoja huku amesema ni jirani yao.

Hebu ongeeni kidogo ni moshi ipi, na huyo binti je kaolewa na je yuko mtoto pekee yake, na je hata hapo kcmc marehemu alipostaafia hakuna hata aliyeshtuka kuona mama haendi hata kuhakiki ofisini.

Je ugomvi wao ulikuwa ni nini na je binti ameenda shule?

Semeni kidogo.
Huyu dem ni twin sister wapo wawili kwa mama yao. Alikuwa anamiliki subaru kali enzi hzo rau nzima saluti.
 
Back
Top Bottom