mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,035
- 3,358
pisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaje huo unyama unaozidi kumchinja binaadam mwenzio kama kuku na kumfukia kama mzoga wa panya na huyo binaadam ni MAMA YAKO MZAZI.Ndiyo upo unyama zaidi ya huo ila kwakua wote mnajidai vijukuu vya mitume humu mnajidai kwamba ni unyama sana hamjawahi kuuskia unyama zaid ya huo
waarabu koko wenye asili ya uchagani😂😂 endelea na maisha raia zinawajua vizuri hata uandike maelfu ya kurasa mnajulikana😂😂😂Baba mwarabu koko mama alikua chotara wa kizungu kwababa na mama mchaga...basi alaumiwe mwarabu koko sio wachaga,nenda huko kanda ya ziwa hakuna wiki husikii mauaji,nao watakua wachaga
Kumbe jibu unalo kuwa ukishakuwa mtu mzima unapaswa kujitegemea.Hayo yote kwanza ni wajibunwa mzazi usianze kusemankuwa ni fadhila. Wee unaleta mtoto duniani hujui kuwa ni jukumu lako kumlea mpaka awe mkubwa na anajitegemea?
Tena as a matter of fact mpaka mtoto anafikia hatua ya kukuua mzazi means wewe kama mzazi ulishindwa kumlea vizuri huyo mwanao.
Nakwambia hivi nikiwa na background ya criminal psychology, mtoto mpaka kifikia kumua mzazi kuna sehemu mzazi alishindwa majukumu yake kama mzazi.
Dunia ina wazazi wakipuuzi sana ambao hawakustahili kuwa wazazi to begin with.
Malezi mabavu kama vile kugegedwa na mzazi wake kupigwa au mateso ya namna yoyote ambayo yanajenga chuki kuelekea mzazi.Kumbe jibu unalo kuwa ukishakuwa mtu mzima unapaswa kujitegemea.
Embu sema basi kulingana na hiyo background yako ya criminal psychology ni sehemu gani ya malezi mzazi akishindwa majukumu yake inapelekea mtoto kumuua mzazi kisa mali.
Kumbe ni pisi kaliView attachment 2075911
Mtoto mwenyewe muuaji ndo huyu
Easy, inawezekana aliita vijana wamchimbie shimo la taka.Tuyaache yote, aliwezaje kuchimba hilo shimo
Wapalestina wa moshi watu hatari sana, wao kukusomea ramani ni dakika sifuri tu.Eti ni watafutaji, na walipoguswa kuua waume zao ili warithi mali wazazi wao walisimama kidedea kuwatetea Sasa wamegeukiwa wao, punguzeni tamaa hii sasani aibu mmezidi khaaa
Jina lake mbona kama ni chagga gang?Sio mchaga ni waarabu koko toka huko
Hivi unaweza kutamani kuishi kwenye nyumba ambayo inakupa kumbukumbu za mateso na mambo yote hayo?Malezi mabavu kama vile kugegedwa na mzazi wake kupigwa au mateso ya namna yoyote ambayo yanajenga chuki kuelekea mzazi.
Wala sio waarabu ni wazungu wa huko hukoSio mchaga ni waarabu koko toka huko
Kitu kimoja lazima uelewa hawa watu akili zao zipo wired differently.....sio kwamba anatamani kuishi kwenye nyumba ya mzazi wake bali anataka kitumia hiyo kama nyezo ya kutimiza mambo yake mwenyewe.Hivi unaweza kutamani kuishi kwenye nyumba ambayo inakupa kumbukumbu za mateso na mambo yote hayo?
Unaweza ukamchukia mtu alafu ukapenda mali yake?
Labda uniambie Chuki ya mzazi na mali vinaendana vipi?
Mama shombe wa kizungu haswaaa..Hiyo familia haina damu ya kichaga baba alikua mwarabu koko,mama nae shombe,ni wahamiaji hao
Wapo na tayr wananyea ndoo mda huuBinti? Akachimba kaburi akamzika mwenyewe? Hapana kuna msaidizi hapo sio bure. Huo ujasiri aliutoa wapi? Tuseme alimuua bahati mbaya labda kwa kumsukuma je kumzika? Hii ni zaidi ya unyama
Huyu dem ni twin sister wapo wawili kwa mama yao. Alikuwa anamiliki subaru kali enzi hzo rau nzima saluti.Mtoto wa kike unamuua mama yako.
Yuko mmoja huku amesema ni jirani yao.
Hebu ongeeni kidogo ni moshi ipi, na huyo binti je kaolewa na je yuko mtoto pekee yake, na je hata hapo kcmc marehemu alipostaafia hakuna hata aliyeshtuka kuona mama haendi hata kuhakiki ofisini.
Je ugomvi wao ulikuwa ni nini na je binti ameenda shule?
Semeni kidogo.
Kumbe duniani hakuna siri, kumbe kuna walomsaidia kuzika? Kweli siri ni ya mmoja.hata hiyo hiyo siri wameichelewesha mwaka mzima wako kimya?Wapo na tayr wananyea ndoo mda huu
Ni vjana wa3 ndo walshrikiana kumpiga panga kichwani na shingoni.wamekiri na wapo lupango. Mazishi kesho so tulio karibu tutawakilisha wananzengo.Kumbe duniani hakuna siri, kumbe kuna walomsaidia kuzika? Kweli siri ni ya mmoja.hata hiyo hiyo siri wameichelewesha mwaka mzima wako kimya?