Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

Vipi wapare na wao ni kama wachaga au wapo tofauti kuhusu kupenda mali kuliko utu,naomba muongozo tafadhali
Nimeoa mpare.
Tafadhali mzee tushitishane hapa aisee dah.

Haya futa swali lako. Naishi naye kwa akili[emoji3][emoji2957]
 
Vipi yupe dogo bonge wakichaga clip inasambaa amefungwa pingu alienda iba na kenta kabisa dukani kwa baba yake ILHALI BABA ALISHAMFUNGULIA BIASHARA YAKE ..ila akaona akaibe na kwa baba??
Sikatai kuna watoto mizinguo kinoma, ila asilimia nyingi wanabaniwa.Mzazi hataki sikia shauri la mwanae ,kisa kakusomesha....
 
Kuna kitu nitakielezea kidogo kwenye hizi issues za vijana kuua mama zao unaeza kuona mauaji mengi yanatokea kwa kina mama zaidi ushajiuliza ni kwann zaidi ya kusema ni tamaa ya mali na roho mbaya? mm nimeishi na mama yangu sana nakumbuka kipind flan alikua ananiambia hapa sio kwako tukizeeka tutauza hii nyumba nikiwa yanki unadhan kweny nafsi ananitengenezea nini zaidi ya chuki?
Alikuwa anasema ukweli kwani palikuwa kwako?
Ukute mnajisahau Sana hamshtuki wazazi wanaumia Kama kijana Hana muelekeo.
Na ukumbuke asilimia kubwa wazazi wa kiafrika Wana ukichaa flani hivi...
 
Dah madogo ss wamezidi
Huyu marehem nae kwa waganga mpaka anatumia mamilioni ilikua ugonjwa gani huo 😏😏😏
Mtoto nae mahusiano na waganga wa kienyeji 😆😆😆
Mtoto wang awe na miaka 18/20 nikiona ananizingua desert eagle itamuhusu
 
Tafuta vya kwako boss..nature hua inaamua kukupa mali,baba yako aneza kupa ukakaa nazo 1yr zikaisha au wewe ukaziachaa..angalia wote walizozichukua kwa nguvu kwa wazazi wao hawatoboi hata three years wanakamatwa.
Ushauri tuu acha uvivu toka kwenye comfort zone pambana kutafuta vyako,ukikwama muombe mzazi au ndugu support wasipokupa poa tuu endelea kupambana na ukizipata usilipe baya kwa baya,watendee mema kuliko wanavyofikiria.
Utabarikiwa na Mungu.
TOKA HAPO ULIPO KAPAMBANEE
Kaka unakuta mtoto siyo mvivu, ana pambana haswa,yaan ni kupewa support tuu na tena mzazi unakuta siyo masikini mali anazo.Kwanini usimpatie start point mwanao ? Kama siyo uchoyo ni nini hasa ?
 
Kuna baadhi ya wamama wana ubinafsi sana.

Mimi mama yangu alikuwa ana appartments kibao. Na akastaafu akapata mafao mazuri tu. Ila hatoi mtaji kwa yeyote. Yeye anapenda kutegemewa tu siku zote na sifa. Kanisani sadaka anatoa mamilioni ila wewe mwanae ama ndugu akikupa pesa ni kidogo ya kula tu sio mtaji na lazima iwe na matangazo kwa ndugu wengine wote.
Tafuta zako achana nae huyo
 
Kabila langu unalijua wewe au unaropoka? Hao wachaga wamekuulia ndugu zako? Au wameua bibi vizee wa ukoo wenu? Au wamewachuna ngozi wajomba zako? Poor thinking and high level of stupidity.
Kuna mahali umeona nimeandika kabila lako

Acha kushupaza shingo ng'ombe wewe

Msumari umekita kunako

Takoring wahed
 
Dah madogo ss wamezidi
Huyu marehem nae kwa waganga mpaka anatumia mamilioni ilikua ugonjwa gani huo [emoji57][emoji57][emoji57]
Mtoto nae mahusiano na waganga wa kienyeji [emoji38][emoji38][emoji38]
Mtoto wang awe na miaka 18/20 nikiona ananizingua desert eagle itamuhusu
Ndio maana marehemu Proffeser mmoja wa udsm (alikuwa mtu wa kuuza sana sura kwenye TV) alikuwa hakai nyumba moja na familia yake..kawajengea house kali ila yeye kapanga..anakuambia naonana nao mwisho wa mwezi kuwapa pocket money...ila binti yake mmoja alikuwa kama teja hivi.
 
Juzi tumesema wachaga mna u-aggressive wa kipumba*u mkatukatalia
 
unauwa Mama mama mama sisi tunatafuta Mama tuomba Mama angekua hai ale mema yetu🥲🥲🥲[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] wewe unamchinja mama aliye beba mimba miezi 9 akakuzaa kwa uchungu usiku na Mchana akulala kwa ajili yako unamchinja Mama kweli Mungu Mungu uko wapi kwanini uliruhusu hii Mungu wangu[emoji24]🥲[emoji24][emoji24][emoji24]🥲[emoji24]🥲[emoji24]🥲[emoji24] .
 
Back
Top Bottom