Moshi-Kilimanjaro: Kuna watu wana tabia ya kuchinja mbwa na kuuza supu

Sasa kwenye kula pamoja na kujaza pilipili za kutosha bado Ile nyama ilikuwa na utamu tamu hivi, nikamwomba Mzee Mmoja aonje Ile nyama na aniambie nyama ya Nini. Mzee akanambia Kijana wangu hii ni nyama ya Nyani.
Iringa wanasema anaitwa nyani au mbwa akiwa hai, akifa ni kitoweo au mboga
 
Hawa wanakwenda kukusanya posho tu, unakwenda kufanya shambulizi kwa kujitangaza, ni kichaa pekee ndiye atabakia na hizo nyama buchani
 
Asia wanakula sana mwbwa je wamepata madhara?/? Wachina wanakula mbwa na ndio wanao tutengenezea kila kitu
 
Taste hukuielewa😅
 
Kama haija dhuru mtu haina shida
 
kama ile ni supu ya umbwa basi umbwa ni mtamu tena anamafuta, nilikutana nayo juzi kati ilitiwa limau mixa pilipili dah kumbe dogii ni poa sana
Wakati Sasa wa kujikita kwenye kilimo Cha mbwa 😀
 
Ukweli wa siku mingi .

Basi bhana baba yangu alikuwa na wenzake wanatoa service ya kuombea nyumba hadi nyumba nakumbuka walisema wasaidiane .

Kwa maana ni vizuri kuombeana majirani na watu wanaokuzunguka .


Sasa wakafikia nyumba ya mwanamaa mmoja akawapikia ugali na nyama wakala vizuri tu baadae wakauliza hii nyama nitamu ni yanani wakadai ni ya mbwa wewe pata picha hapo walifanyaje kutapika na imeshadigest ni hakunaga basi wakashushia na maji wakaenda zao na hawakurudi Tena maeneo hayoo ila ni nyama tamu sana Arusha na Moshi ndio zao sana sana pale stendi hadi paka wanapika hiyo mishkaki enzi za kusoma sec ndio walishikwa wale wauza mishkaki Pale stendi hadi paka walikuw wanafanya yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…