MOSHI: Mahakama yaelezwa mtoto anayedaiwa kubakwa na Padri alienda kuungama

Hilo iachiwe mahakama. Kwanini unasema hivyo wakati raisi, waziri mkuu na hata jaji mkuu ni waislam?
Nafahamu hao jamaa wanavyofanya ikitokea ishu kama hizo na siku tz sheria ikianza kuchukua mkondo dhidi ya mapadri basi waumini watakosa mtu wa kuwasalisha
 
Sheria zinabadilishwa Mkuu[emoji23][emoji23]
Yaani sheria kufumba na kufumbua ndani ya siku tatu inaweza kubadilishwa na kutumika au isitumike.
Hakuna sheria inayoweza kubadilika ndani ya siku tatu.Hata ikishabadilishwa haiwezi kutumika ndani ya siku tatu.Kila hatua ina mchakato wake ambao unachukua muda mrefu.Ukiandaliwa mswada,unaenda jadiriwa bungeni ambako unaweza kupita au usipite.Ukipita unaenda kwa rais ili autie sahihi yake.Anaweza Asi assent.Aki assent akatia sahihi lazima uchapishwe kwenye gazeti la serikali Kisha wizara husika itunge kanuni za sheria husika.Pamoja na mambo mengine bado huu ni mchakato mrefu.Haki za binadamu ziliingizwa kwenye katiba ya Tanzania 1984,zilihitaji miaka mitatu kuanza kutekelezwa.
 
Kosa ni kufanya mapenzi na mtoto ambaye hajafisha miaka 18.Haijalishi alikuwa amezoea,alitaka mwenyewe,alipata raha wa alishika ukuta.Kinacho angaliwa ni je,mtoto kweli aliingiliwa? Je,mtoto ana miaka chini ya 18? Aliyemwingilia ni huyo padre kweli? Hayo yote yakitimia basi padre amenajisi mtoto kinyume cha sheria .Apigwe mvua za kutosha ili liwe fundisho kwa wengine.
 
K
Pesa ikihusishwa vizuri + heshima ya kanisa, ni ngumu sana kupata ukweli, bali kutakuwa na matumizi makubwa ya techniques za kushinda kesi!

Mahakamani hakunaga haki, Ila Kuna ujuzi wa kucheza na sheria tu!
Kwako Haki ni nini?
Mtuhumiwa akishinda kesi sio Haki ila akitiwa hatiani ndio Haki?
 
Lipo mahakamani tuache sheria ichukue mkondo. Kama Padre kafanya au yeyote ni uhalifu kama mwingine wowote. Hakuna dini au taasisi isiyo na wahalifu! Hata mapadri wapo waovu lakini pia wema ni wengi.



Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Maelezo Yako na yadada wakazi yanakinzana.
👉wewe ulisikia akikataa kuvuliwa
nguo .
👉Dada wakazi anasema anafumwa akiwalika wakumuingilia.
je , wewe uliamini Nini?

hata ushahidi wa kimazingira unaonesha wabakaji walikua 4, nawote wamefika umli wa barehe.
moto wao so wakitoto hasa .
siJaona kilicho kusukuma kuamini maelezo ya huyo dada wa kazi.
 
Kheee unataka niamini kipi
 
Hiyo ripoti ya uchunguzi imehusisha pia vipimo vya DNA?
 
Inawezekana alikuwa anakilia taimingi hako katoto kwa mda mrefu
 
Nafikiri ni wakati sasa viongozi wakuu wa kanisa katoliki kutafakari upya juu ya katazo la kuoa kwa mapadri na kuolewa kwa masister.

Kuoa au kuolewa ni agizo la mungu na sio dhambi....
Na Useja ni Agizo la Mungu pia!
 
Binti hakunyoosha maelezo kuwa Padri alikuwa ni mpenzi wake wa siku nyingi na kila jpili ilikuwa ni lazima ampelekee mbususu akaigegede.
Arubaini ikitimia haina Ujanja.
 
Nafikiri ni wakati sasa viongozi wakuu wa kanisa katoliki kutafakari upya juu ya katazo la kuoa kwa mapadri na kuolewa kwa masister.

Kuoa au kuolewa ni agizo la mungu na sio dhambi....
Wabakaji wengine nao ubaka kwakuwa hawajaoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…