MOSHI: Mahakama yaelezwa mtoto anayedaiwa kubakwa na Padri alienda kuungama

MOSHI: Mahakama yaelezwa mtoto anayedaiwa kubakwa na Padri alienda kuungama

...padri huyo akazivua nguo zake za ndani na yeye kuvua kanzu yake na kutoa uume uliokua umesimama na kisha kumuingizia.

Hii kesi inahitaji hakimu/jaji atulize sana kichwa...

Hadi sasa ushahidi wake unaelezwa kiwepesi wepesi, sijui kama mashahidi kuna kitu wanaficha au lah...

Mtoto wa miaka 12 aingiziwe uume na mtu mzima pasipo kupiga kelele za maumivu, jinsi inavyosimuliwa ni kama huyo mtoto alishatolewa usichana wake...
 
Mshtakiwa katika kesi ya ubakaji namba 45 ya mwaka 2022, Padri wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Deonis Aropagita katika Jimbo la Moshi, Sostenes Bahati Soka, amesomewa maelezo ya awali.

Padri Soka amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Moshi, Kilimanjaro leo Jumatatu Oktoba 10, 2022 na kusomewa maelezo ya awali akituhumiwa kumbaka mtoto wa miaka 12.

Akisomewa maelezo ya awali mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Salome Mshasha, Wakili wa Serikali Kasimu Nasiri, amedai kuwa mshtakiwa huyo anadaiwa kutenda kosa hilo Agosti 12, 2022 ambapo wakati wa tukio hilo mtoto huyo alikua akishiriki mafundisho ya kipaimara kanisani hapo.

Amedai kuwa mtoto huyo baada ya kumaliza mafunzo hayo majira ya jioni, alikwenda kwa mshtakiwa kwa nia ya kuungama dhambi zake, alipofika alimkuta mshtakiwa amekaa kwenye kiti na kuanza kupiga magoti na kuungama dhambi zake.

Hata hivyo, mshtakiwa alipotaka kumpa kitubio chake, ndipo alimshika mabega na kumnyanyua kutoka kupiga magoti hadi kusimama kisha akampakata.

Alidai kuwa baada ya kumpakata ndipo alimtomasa sehemu mbalimbali za mwili kisha akampeleka ukutani, akaishusha sketi ya mtoto na kumwambia ashike sketi yake, mtoto akashika na padri huyo akazivua nguo zake za ndani na yeye kuvua kanzu yake na kutoa uume uliokua umesimama na kisha kumuingizia.

Wakili huyo aliendelea kudai kuwa wakati akiendelea na tukio hilo alikuwa akimtomasa tomasa mwilini hadi alipomaliza haja zake ndipo akamruhusu mtoto huyo kuvaa nguo zake na kuondoka.

Amedai kuwa mtoto huyo akiwa anazungumza na wazazi wake nyumbani mazungumzo kati ya mama na mwana, ndipo mtoto alimweleza kuwa Padri huyo amemfanyia vitendo vya kikubwa. Maelezo hayo ya mtoto yalimshtua mama yake ambaye alichukua hatua ya kwenda kutoa ripoti kituo cha polisi na kwamba, ripoti ya uchunguzi ilionyesha mtoto huyo ameingiliwa. Mshitakiwa alipelekwa kwenye gwaride maalumu la utambuzi na akatambulika na hatimaye sheria kuanza kuchukua mkondo wake ikiwemo kufikishwa mahakamani.

Kwa upande wake, mshitakiwa amekana kuwa sio kweli isipokua alitambulika kwenye gwaride maalumu la utambuzi lililofanywa na polisi.

Hata hivyo, Wakili wa utetezi Edwin Silayo ameomba kuahirishwa kwa kesi hiyo kutokana na sababu kuwa leo Jumatatu Oktoba 10, 2022 ndio mara yake ya kwanza kukutana na mteja wake hivyo, kuna nyaraka na maelezo hajapewa.

Hakimu Salome ameahirisha kesi hiyo hadi Oktoba 12, 2022 ambapo mashahidi wanne watafika kutoa ushahidi.

Chanzo: Mwananchi
Hi sio dini jamani, yaani mtu zambi unaenda kuungama kwa binadamu mwenzio? Halafu inaonyesha mapadri wamefffff$ira wengi Sana Sana, hata humu wanaowatetea walissshafffffff*irrrwa utotoni bilashaka yoyote,

Kwann Hawa mabaradhuli hawaruhusiwi kuoa? Nimegundua ushoga umeanzia huko kumbe, halafu waumini wao walivyo mazezeta baada ya kumshutumu huyo mbakaji,wao wanaishia kuwatukana Waislamu kuwa wanavaa kobazi heti, haya majitu kichwani hamna kitu kabisa
 
Noma Sana hiyo.

Miaka 12 chuma kikapita bila kelele,
Huyo Padri Kama ni kweli anyongwe
Huenda labda padri Ina kibamia kwahiyo akikuleta tabu kupita kwa huyo mtoto, nashauri hii dini ifutwe, lasivyo hao mabaradhuli waruhusiwe kuoa, case closed"
 
Hii nikweli kabisa, nikikumbuka mie nikiwa na 12yrs hapana haiwezekani kabisa kitu hicho hicho kitu nikubali, isitoshe ni mbaba wa 40yrs daa jamani mtoto mpaka anavuliwa nguo ya ndani kapo tu inawezekana wamezoeanà itakuwa walikuwa wanafahamiana siku hiyo wametofautiana wamuulize vizuri huyo mtoto.
Huna akili au ujazaa, mtoto wa miaka 12 mmeelewana au umemrubuni?? Unajua sheria ya ubakaji inasemaje dada
 
Mbona maustadhi na mashehe wanaruhusiwa kuoa tena hata wake wanne, lakini nao daily wanabaka vitoto vya madrasa?
Mkiambiwa ukweli, mlivyo matahila mnakimbilia ku-attack uislamu, Basi sawa acha hao mabaradhuli wawale huko mahekaluni mazuzu nyie
 
Ila mapadri ni wanakula watoto wawatu wawe wakike au wakiume halafu ni hawana aibu walahi .

Nakumbuka padri mmoja alikuwa anakula wasichana washule kuanzia miaka 13 hadi 20 shuleni kwetu akwapa mimba 5 watatu wakatoa wawili sijui ilikuwaje halafu wengine walikuwa wanampigania na wanatoroka kwenda kumsalimia kabisa nakumpa amewala hadi akafukuzwa huko moshi .

Shule hiyo ya mapadri ilikuwa uovu wa aina yake wanalala watoto wawatu nyuma na mbele .

So sishangai huyo mtoto kazoeshwa ma wao tu na ilikuwa wameahidiana kitu fulani hakumletea so akamwambia nitakuonyesha ndio ameonyeshwa zali.
Mapadri ndio tabia yao
 
Uenda alikuwa anampiga BRASH.
kubaka sio mpaka UINGIZE uume wote hata kumchezea chezea mtoto umebaka.tusubiri mahakama
Miaka 12 kwa mwanaume wa miaka 40 na hata kelele hakupiga.. Akavaa nguo akaenda zake. Yaani huyu mtoto ni mzoefu wa hayo mambo. Haya Padre hilo janga ulilochuma kula na nduguzo
 
Miaka 12 kwa mwanaume wa miaka 40 na hata kelele hakupiga.. Akavaa nguo akaenda zake. Yaani huyu mtoto ni mzoefu wa hayo mambo. Haya Padre hilo janga ulilochuma kula na nduguzo
Acha Tuu na Imani muda utafika na ukweli kujulikana
 
...angekuwa mtu mzima au mke wa mtu ingekuwa imeisha hiyo na maisha yangeendelea sababu angesema ingeonekana yeye ndiye alimtega.!!! Tuwaombee watumishi wa huduma za Kiroho,shetani anawazungukia kila sekunde.!
 
Nafikiri ni wakati sasa viongozi wakuu wa kanisa katoliki kutafakari upya juu ya katazo la kuoa kwa mapadri na kuolewa kwa masister
Kuoa au kuolewa ni agizo la mungu na sio dhambi....
Dhambi tu mkuu na uharibifu kwani hata walio oa na watumishi wenye kuruhusiwa kuoa wanayafanya tu hivyo ni tabia tu. Mtu anayemuingilia kimwili mtoto mdogo ama anabaka ni mental health na sijui tuiteje, hata kama emeoa wanawake 4 ila bado atafanya Ivo tu
 
baada ya kumpakata ndipo alimtomasa sehemu mbalimbali za mwili kisha akampeleka ukutani, akaishusha sketi ya mtoto na kumwambia ashike sketi yake, mtoto akashika na padri huyo akazivua nguo zake za ndani na yeye kuvua kanzu yake na kutoa uume uliokua umesimama na kisha kumuingizia.
mawakili punguzeni kunogesha aisee...hapa midume kibao na yenyewe imebaka kimawazo na inaona kama mtumishi kafaidi.
 
Kama kweli katenda hivyo basi huyo Padri ni shetani.

Ingawa kwa kufuatisha maelezo yanaacha maswali, labda kama Muandishi au Mtoa ushahidi hakuongea kila kitu.

Kwa mfano Mtoto hakujaribu kujitetea?. Padri alikuwa anasema nini kumshawishi n.k....kilichoandikwa hapo kina sound kama walikuwa Maroboti.
Mh!
Kwani ni lazima mtoto ajitetee? Pia sio lazima Padri aongee chochote. Mambo yanawezekana kufanyika kimyakimya tu.
 
Mambo ya kijinga sana watani zetu ktk dini mnafanya

Yaani kuungama kwa wasiojua ni kumwezea mheshimiea padri madhambi yako ili na yeye akuombee msamaha kwa bwana yani full urasimu

Sasa shida ni pale unapomkuta mheshimiwa padri katoka kula kitimoto na balimi bariiidi (wanaruhusiwa) ndio utaona badala ya kumpigia simu bwana kumueleza madhambi yako kama ulivyomuomba utamkuta anayasolve yeye mwenyewe, hapa wake za watu wapo mtegoni
 
Miaka 12 kwa mwanaume wa miaka 40 na hata kelele hakupiga.. Akavaa nguo akaenda zake. Yaani huyu mtoto ni mzoefu wa hayo mambo. Haya Padre hilo janga ulilochuma kula na
Ndiyo maana anasema alikwenda kuungama dhambi zake
 
Back
Top Bottom