MOSHI: Mahakama yaelezwa mtoto anayedaiwa kubakwa na Padri alienda kuungama

MOSHI: Mahakama yaelezwa mtoto anayedaiwa kubakwa na Padri alienda kuungama

Mshtakiwa katika kesi ya ubakaji namba 45 ya mwaka 2022, Padri wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Deonis Aropagita katika Jimbo la Moshi, Sostenes Bahati Soka, amesomewa maelezo ya awali.

Padri Soka amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Moshi, Kilimanjaro leo Jumatatu Oktoba 10, 2022 na kusomewa maelezo ya awali akituhumiwa kumbaka mtoto wa miaka 12.

Akisomewa maelezo ya awali mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Salome Mshasha, Wakili wa Serikali Kasimu Nasiri, amedai kuwa mshtakiwa huyo anadaiwa kutenda kosa hilo Agosti 12, 2022 ambapo wakati wa tukio hilo mtoto huyo alikua akishiriki mafundisho ya kipaimara kanisani hapo.

Amedai kuwa mtoto huyo baada ya kumaliza mafunzo hayo majira ya jioni, alikwenda kwa mshtakiwa kwa nia ya kuungama dhambi zake, alipofika alimkuta mshtakiwa amekaa kwenye kiti na kuanza kupiga magoti na kuungama dhambi zake.

Hata hivyo, mshtakiwa alipotaka kumpa kitubio chake, ndipo alimshika mabega na kumnyanyua kutoka kupiga magoti hadi kusimama kisha akampakata.

Alidai kuwa baada ya kumpakata ndipo alimtomasa sehemu mbalimbali za mwili kisha akampeleka ukutani, akaishusha sketi ya mtoto na kumwambia ashike sketi yake, mtoto akashika na padri huyo akazivua nguo zake za ndani na yeye kuvua kanzu yake na kutoa uume uliokua umesimama na kisha kumuingizia.

Wakili huyo aliendelea kudai kuwa wakati akiendelea na tukio hilo alikuwa akimtomasa tomasa mwilini hadi alipomaliza haja zake ndipo akamruhusu mtoto huyo kuvaa nguo zake na kuondoka.

Amedai kuwa mtoto huyo akiwa anazungumza na wazazi wake nyumbani mazungumzo kati ya mama na mwana, ndipo mtoto alimweleza kuwa Padri huyo amemfanyia vitendo vya kikubwa. Maelezo hayo ya mtoto yalimshtua mama yake ambaye alichukua hatua ya kwenda kutoa ripoti kituo cha polisi na kwamba, ripoti ya uchunguzi ilionyesha mtoto huyo ameingiliwa. Mshitakiwa alipelekwa kwenye gwaride maalumu la utambuzi na akatambulika na hatimaye sheria kuanza kuchukua mkondo wake ikiwemo kufikishwa mahakamani.

Kwa upande wake, mshitakiwa amekana kuwa sio kweli isipokua alitambulika kwenye gwaride maalumu la utambuzi lililofanywa na polisi.

Hata hivyo, Wakili wa utetezi Edwin Silayo ameomba kuahirishwa kwa kesi hiyo kutokana na sababu kuwa leo Jumatatu Oktoba 10, 2022 ndio mara yake ya kwanza kukutana na mteja wake hivyo, kuna nyaraka na maelezo hajapewa.

Hakimu Salome ameahirisha kesi hiyo hadi Oktoba 12, 2022 ambapo mashahidi wanne watafika kutoa ushahidi.

Chanzo: Mwananchi
Akikutwa na hatia huyu Padri mniite dog nipo nimekaa paleee.
 
Miaka 12 kwa mwanaume wa miaka 40 na hata kelele hakupiga.. Akavaa nguo akaenda zake. Yaani huyu mtoto ni mzoefu wa hayo mambo. Haya Padre hilo janga ulilochuma kula na nduguzo
Alikuwa anakwenda kuungama dhambi gani miaka 12 kama si uzinzi?
 
Nawaza San mm mwnagu Ni mkatoliki na anakah jirani kbsa na kanisa la katoliki ninukuta ndio umetenganisha na nyumba ya mapadri dah sijui yaani kila nikiona nyusi za Hawa watu naaanza kumuwaza mwanagu
 
Maswali ni mengi kulingana na hayo maelezo ya awali, inamaaa siku hizi kitubio hakifanyiki ndani ya kanisa na kinafanyika ndani ya nyumba ya Padre? Hakukuwa na watu wengine katika hiyo nyumba? Huyo mtoto hakuambatana na wenzake wakielekea kwenye nyumba ya Padre? Hakukuwa na purukushani zozote wengine wakasikia au mtoto alikuwa mzoefu katika hivyo vitendo? Ngoja tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Nafikiri ni wakati sasa viongozi wakuu wa kanisa katoliki kutafakari upya juu ya katazo la kuoa kwa mapadri na kuolewa kwa masister
Kuoa au kuolewa ni agizo la mungu na sio dhambi....
mungu? au Mungu/MUNGU?.Hata kutooa pia ni agizo la MUNGU.
 
Katika kitu ambacho huwa kinanishangaza na nakiona ni cha kipuuzi ni suala hilo la kuungama dhambi zako mbele ya mwanadamu mwenzako ambae pia ana dhambi kama zako au zaidi ya zako.

Inawezekana kabisa miongoni mwa madhambi aliyotubia ni dhambi ya kugegedwa!! Padri akaona kumbe hiki kibinti kinaiweza michezo yetu pendwa kwanini nisimpelekee moto tu mamaeeee!!!!

Huyo mtoto nae alikuwa na nyege, unatomaswa vp mpk chupi unavuliwa pasi na kupiga kelele na bikra huenda alikuwa hana maaana padri alivyochomeka tu breki ilikuwa ni mbupu.
Unakataa kuungama kwa Padre kisa ni binadamu mwenzako lkn unaomba Mchungaji binadamu mwenzako akuombee.This is Ridiculous.
 
kesi kama hizi zinapaswa zisikilizwe Siku moja tu na kisha kutoa hukumu.
 
Hii nikweli kabisa, nikikumbuka mie nikiwa na 12yrs hapana haiwezekani kabisa kitu hicho hicho kitu nikubali, isitoshe ni mbaba wa 40yrs daa jamani mtoto mpaka anavuliwa nguo ya ndani kapo tu inawezekana wamezoeanà itakuwa walikuwa wanafahamiana siku hiyo wametofautiana wamuulize vizuri huyo mtoto.
😁😁sema tatizo sheria za nchi ndio hizo. Hata kama mlikubaliana lakini kwa umri wake bado hajakomaa kiasi cha kutoa maamuzi, ni ubakaji
 
Mtoto WA miaka 12 anaungama nini?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni katoto kisheria Ila ni kakubwa kwa mambo yetu Yale.
 
Mara nyingi jambo likiletwa kwa taharuki, watu wanalichukulia jambo hilo kitaharuki! Hawataki kufikiria upande mwingine.

Kesi ya padre kuhusu kubaka, tunaipa uzito upande mmoja tu, yaani tunaamini kwa asilimia mia kuwa padre alimbaka binti. Kwa maelezo ya mtetezi wa binti, inaonekana kuwa binti huyo aliuanza mchezo huo siku nyingi zilizopita.

Wakili anasema kuwa binti alimwambia mama yake kuwa padre alimfanyia kitendo cha ukubwa, na mama yake akaripoti polisi, na polisi waliruhusu achunguzwe na daktari. Daktari alithibitisha kuwa binti ameingiliwa. Swali; kwani huyo binti asingeweza kuingiliwa na watu wengine?

Majibu ya daktari hayatoshi kumtia padre hatiani, labda kama mtoto huyo aliingiliwa kwa mara ya kwanza. Mimi nadhani tungeangalia na utetezi wa upande wa padre. Hapa tuangalie mahusiano ya huko nyuma kati ya huyo padre na familia anayotoka mtoto anayedaiwa kubakwa.
 
Back
Top Bottom