Moshi: Mfanyabiashara aua kwa bastola Himo

Moshi: Mfanyabiashara aua kwa bastola Himo

Wajua hapo ni dakika 3 kutoka himo polisi yawesekanaje mtu afytue risasi mbili polisi wassisikie nashauri hicho kituo Askari waamishwe ndugu zangu wapo wanao fanya kazi Kwa mazoea.kwa Nini muuaji akukimbilia hapo himo akaenda mpka town na Centro amefika amekili kuua Tena Kwa makudi na amekaa Siku zaidi ya kumi na nane means Ili jambo lilikuwa linapangwa kuzimwa kama lilifikia Kwa ocd. Wa Centro hapo hakuna kesi Mzee wa kuyajenga kupitia kijana wake balongo idara ya ukaguzi
 
Msongo wa mawazooo ni changamoto inayoendelea kukua katika jamii ya Tanzania

Upatapo muda enda mahali ama ata home fungua mziki uupendao imba imba imbaa weeeeee
Watu wenye Hela na sisi tusiokuwa Nazo ,we suffer the same fate of mental illness,, depression, stress etc... Zamani walikuwa wanasema sijui hizi mental illnesses ni za wazungu[emoji28] ila Sasa Hadi huku
 
Kulingana na maelezo aliyopewa, katika mabishano hayo walifikia hatua ya kutaka kupigana, ndipo mfanyabiashara huyo inadaiwa alikwenda kwenye gari na kuchukua bastola na kumfyatulia risasi mtoto wake na kumuua papo hapo.
Hata ningekua Mimi jamaa anaweza kujitetea kua alitaka kumkaba na kumuibia Mali zake, mengine hayanihusu anahitaji mwanasheria nguli tu anachomoka kesi ndogo sana
 
Huyo muuaji atashikwa mattyakko yake veri suni.
Anadhani nchi hii ni mali ya mama yake.
Atanyooka tu.
 
Mwenye pesa atapata haki. Hiyo familia kama njaanjaa makoko imekula kwao.
Wakashtaki kwenye mahakama ya mnyonge.
Ni kweli. Kwa Tanzania huyo muuaji kama ana fedha chafu basi ni suala la muda tu. Anyways, kila siku tunaaswa kuepuka confontation kwa namna yoyote ile. Hao wenye pikipiki wangekuwa wamempuuza tu, hili lisingetokea. Na muuaji naye angekuwa ameomba samahani wala haya yasingetokea. Uhai hautarudi, na muuaji atatesekea jela na kupoteza fedha nyingi na hata akija kutoka bado ataishi na kimuhemuhe maisha yake yote. Hata kama ana fedha, ingekuwa aliyeuawa ni ndugu yangu, basi ni bora aombe abaki huko huko jela maisha kwani akitoka.......
 
Aliyeshuhudia afunguka
“Kauli ile ilimkera marehemu na kuanza kushikana na kuanza kupigana. Wakati huo mimi nilikuwa naegesha pikipiki vizuri ili niwafuate, kitendo cha mimi kushuka kwenye pikipiki nikasikia mlio wa bastola, nikachanganyikiwa na kukimbia,"alidai.
Vifo vingine huwa tunavitafuta wenyewe; tujifunze kuzuia hasira zetu pale tunapochukizwa
 
Mimi Binafsi Nimeona tuu Hilo Jina la Hospitali ya FARAJA HIMO maana inaonekana hiyo Hospitali bado iko kwenye Spotlight.Watu wa matukio wanaenda KUFIA hapo Tu Kuna nini?Maan yule Mrembo wa UDOM naye Alifia Hospitali Ya Faraja.
 
Aisee! Kuna umuhimu wa kudhibiti hasira zetu. Maana huu mzozo ulikuwa unaepukika kabisa. Pia nina waswasi kama mtuhumiwa wa mauaji ndiye chanzo cha hiyo ajali.

Na hii inatokana na ukweli kwamba waendesha pikipiki wengi ndiyo wamekuwa na hii tabia ya kutochukua tahadhari, pale waingiapo barabara kuu.
Bodaboda inawezekana walitaka kumpiga wote wawili yeye akawawahi na manati
 
Back
Top Bottom