Acha ukabila. Wasukuma na wachaga mnawaandama sana nchi hii.Wachaga ni kabila la ajabu mno hapa Tanzania
Watu wenye Hela na sisi tusiokuwa Nazo ,we suffer the same fate of mental illness,, depression, stress etc... Zamani walikuwa wanasema sijui hizi mental illnesses ni za wazungu[emoji28] ila Sasa Hadi hukuMsongo wa mawazooo ni changamoto inayoendelea kukua katika jamii ya Tanzania
Upatapo muda enda mahali ama ata home fungua mziki uupendao imba imba imbaa weeeeee
NakubaliMuziki ni dawa, hii inafanya kazi sana.
Hakika, lazima atatoka , Japo damu ya huyo jamaa itamnukia sana the rest of his lifePesa yake itamuacha huru
Nakubaliana naweUkosefu tu wa busara umegharimu Maisha ya mtu.Stupid ego,Hapo mmoja wapo angejishusha yasingetokea hayo.Watu wanafukuto la ndani kwa ndani wanatamani mtu achokeze wamlipukie.
Hata ningekua Mimi jamaa anaweza kujitetea kua alitaka kumkaba na kumuibia Mali zake, mengine hayanihusu anahitaji mwanasheria nguli tu anachomoka kesi ndogo sanaKulingana na maelezo aliyopewa, katika mabishano hayo walifikia hatua ya kutaka kupigana, ndipo mfanyabiashara huyo inadaiwa alikwenda kwenye gari na kuchukua bastola na kumfyatulia risasi mtoto wake na kumuua papo hapo.
Ni kweli. Kwa Tanzania huyo muuaji kama ana fedha chafu basi ni suala la muda tu. Anyways, kila siku tunaaswa kuepuka confontation kwa namna yoyote ile. Hao wenye pikipiki wangekuwa wamempuuza tu, hili lisingetokea. Na muuaji naye angekuwa ameomba samahani wala haya yasingetokea. Uhai hautarudi, na muuaji atatesekea jela na kupoteza fedha nyingi na hata akija kutoka bado ataishi na kimuhemuhe maisha yake yote. Hata kama ana fedha, ingekuwa aliyeuawa ni ndugu yangu, basi ni bora aombe abaki huko huko jela maisha kwani akitoka.......Mwenye pesa atapata haki. Hiyo familia kama njaanjaa makoko imekula kwao.
Wakashtaki kwenye mahakama ya mnyonge.
Vifo vingine huwa tunavitafuta wenyewe; tujifunze kuzuia hasira zetu pale tunapochukizwaAliyeshuhudia afunguka
“Kauli ile ilimkera marehemu na kuanza kushikana na kuanza kupigana. Wakati huo mimi nilikuwa naegesha pikipiki vizuri ili niwafuate, kitendo cha mimi kushuka kwenye pikipiki nikasikia mlio wa bastola, nikachanganyikiwa na kukimbia,"alidai.
Nahisi Jamaa atakuwa na KeSI man slaughter au huenda Waanga wakatuhumiwa kuwa ni Majambazi.Vifo vingine huwa tunavitafuta wenyewe; tujifunze kuzuia hasira zetu pale tunapochukizwa
Katika ulimwengu wa sasa, watu wengi wamevurugwa; tukijifunza kupuuzia vitu vingine unajiepusha na mengi, uhai ukitoka haurudi.Nahisi Jamaa atakuwa na KeSI man slaughter au huenda Waanga wakatuhumiwa kuwa ni Majambazi.
Lyimo na Minja.......hawa si ni Ndugu kabisa babaangu? Yerewiiiii.....
Nikajua labda Marwa na Lyimo .....
#Ndugu wameuawana!!!
Bodaboda inawezekana walitaka kumpiga wote wawili yeye akawawahi na manatiAisee! Kuna umuhimu wa kudhibiti hasira zetu. Maana huu mzozo ulikuwa unaepukika kabisa. Pia nina waswasi kama mtuhumiwa wa mauaji ndiye chanzo cha hiyo ajali.
Na hii inatokana na ukweli kwamba waendesha pikipiki wengi ndiyo wamekuwa na hii tabia ya kutochukua tahadhari, pale waingiapo barabara kuu.
Wachaga ni kabila la ajabu mno hapa Tanzania
Na ndiyo maana kesi itakapoanza kusikilizwa, tutpata pia ukweli wa tukio kutoka upande wa pili.Bodaboda inawezekana walitaka kumpiga wote wawili yeye akawawahi na manati