Moshi: Mfanyabiashara aua kwa bastola Himo

Hata ningekua Mimi jamaa anaweza kujitetea kua alitaka kumkaba na kumuibia Mali zake, mengine hayanihusu anahitaji mwanasheria nguli tu anachomoka kesi ndogo sana
Kama alitaka kukabwa kwa nini hakutoa ripoti polisi himo (1/2 km) akaenda kutoa ripoti moshi mjini (27km)?
 
Sijawahi kusikia mtu yeyote anayemiliki silaha kihalali ameua majambazi au wezi.

Mara zote wanaua watu baki tu kwa mbaaali sana namuona Said Mwamwindi.
Hujakosea kabisa ,silaha nyingi utasikia wametandikana bar
Sijui wamechomekeana barabarani
Yaani visa ambavyo havina mbele
Wala nyuma

Ova
 
Washamba wengi wamemilikishwa silaha
Majambazi,panyaroad tu hatuwaoni
Wakiwapiga hata za miguu na silaha
Zao

Ova
 
Hapo familia iende tu kwenye mahakama ya kimila. Kwenye mahakama za kawaida tayari jamaa anashinda kama kakaa siku 18 bila kupanda kizimbani. Pia kitendo cha kukimbilia town alishajua watetezi wake wako kule. Hapo ni mahakama ya kimila tu ndo inafaa.
Kesi ni kesi tu huyo aliyeua
Itampelekesha sana na watamtoa
Hela sana
Hivi yule bilionea wa kopa gas katoka
Maana wasambaa kwa kesi,walivyokuwa wanaikomalia keesi kwa ukaribu

Ova
 
Kesi ni kesi tu huyo aliyeua
Itampelekesha sana na watamtoa
Hela sana
Hivi yule bilionea wa kopa gas katoka
Maana wasambaa kwa kesi,walivyokuwa wanaikomalia keesi kwa ukaribu

Ova
Kesi ya kuua ni nzito sana. Kuna polisi na wahusika wengine watakula sana hela zake. Jamaa wa Kopagas sijajua aisee
 
Limbukeni akipata taabu tupu.
 
Afya ya akili ni tatizo lingine kubwa linalokuja kwa kasi sana hapa nchini, mbaya zaidi tunaliangalia kikawaida tu
 
Hata ningekua Mimi jamaa anaweza kujitetea kua alitaka kumkaba na kumuibia Mali zake, mengine hayanihusu anahitaji mwanasheria nguli tu anachomoka kesi ndogo sana
Hata kama una hela, kesi za mauaji Tz zinasumbua na zinafuatiliwa sana, kuzimaliza kwa njia ya rushwa mpaka ndugu zako waparangane haswa na wazijue chanels
.
Mkuu, emb jaribu kufanya utafiti.

Yaani usipompata mtu sahihi wa kukusaidia, pesa utahonga na jela utakaa.

Mapolisi wanaelewa mtu akiwa na kesi kubwa kabila hiyo ni namna gani anavyokuwa na mtero.

Hivyo kila afisa hujifanya ndiye mhusika wa kuweza kukusaidia kulizima saga.

Utakuja kushituka ushakuwa mweupe!
 
Dah hasira hasara
Mimi najivunia dread zangu asee
Hizi mambo uwa zinanitokea mara kwa mara yaan bila kutegemea
Arafu kuna tatizo moja watembea kwa miguu wengi uwa wanaamini umewadharau unapowakosa Kosa kuwagonga ma wengine uwa na kiburi tu kuipisha gari, hao ndo ukiwakuta mtaani ndio ujiita masikini jeuli, wale hujisifia kuwa masikini, na jambo lolote ye uona umemfnyia dharau hawa awapendi kabisa kupisha gari na anaweza hata kujidai kusukumana nayo barabarani ili yeye apite kwanza,
Kekweli Hali ya kukutana na haya mambo ni sana tu, yaan uwa natumia Imani yangu ya ki rasta cha kwanza nasimama fasta namfata muathjlika niwe mimi mwenye kosa au yeye
Namkagua kwanza kama kaumia kisha nampa pole au kjmsaidia kumsogeza pembeni
Utasikia
Rasta jsijar sikaumia sana au nenda tu ras
Na watu waliosogea wanasaidiana nami na hawanitozi chochote zaidi ya kupeana amani ya ki rasta
Kiukweli hali hii ya kirasta inanipa Imani zaidi kwa watu wenye mioyo safi ya kusaidiana
Binaadamu tuishi kwa upendo kwan ufaidiki kwa lolote kwa kumtendea binaadamu mwenzako dharau au kujenga tabia ya kijeuri kwa binaadamu mwenzako
Aman iwe kwenu
 
Ndio maana sisi Wakristo tunapo patwa na Janga na kusalimika jambo la kwanza tunakimbilia kwanza kumshukuru Mungu kwa kutuepusha na hilo janga.
Pili tunasamehe kwani tunajua wazi anaye tulinda ni Mungu tu.
Bila yeye muda wote yule mwovu anatuondoa duniani.

Kusali ni kuondoa misongo mikubwa ya mawazo kichwani.
Dunia hii huwezi kujitegemea wewe mwenyewe. Muweke Mungu Mbele.
 
Wanasema kwamba kwenye ulimwengu wa crime, bunduki uliyoifanyia uhalifu kwa kukatisha uhai wa mtu hakikisha unaitupa au kuiharibu kwa namna yoyote ile.. sijawahi kufahamu kujua Nini main reason katika hili.. [emoji848]
Miongoni mwa ushahidi unaohitajika ni silaha iliyofanyia mauaji. Isipokuepo speculations zinakua nyingi
 
Hata ningekua Mimi jamaa anaweza kujitetea kua alitaka kumkaba na kumuibia Mali zake, mengine hayanihusu anahitaji mwanasheria nguli tu anachomoka kesi ndogo sana
Hapo shahidi anasema nae alitaka pigwa chuma akiwa umbali wa atua 200 toka eneo la mauaji so hoja ya kuwa amevamiwa inahitaji changa kali Sana ikubalike
 
Hapo shahidi anasema nae alitaka pigwa chuma akiwa umbali wa atua 200 toka eneo la mauaji so hoja ya kuwa amevamiwa inahitaji changa kali Sana ikubalike
Itajulikana tu mwanasheria wake atakwambia asiongee chochote hadi Mahakamani Ila kesi anachomoka atalipishwa mamillion tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…