Uchaguzi 2020 Moshi: Mkurugenzi akataa kupokea fomu za wagombea kwa sababu walizituhumu sio halisi, awataka wakazithibitishe polisi kwanza

Uchaguzi 2020 Moshi: Mkurugenzi akataa kupokea fomu za wagombea kwa sababu walizituhumu sio halisi, awataka wakazithibitishe polisi kwanza

Wagombea wa CHADEMA Moshi wakataliwa kupokelewa fomu zao na Mkurugenzi


tumefikia patamu tiba tuchapane tuu hili dubuasha litakamatwa hata jumuia za kimataifa ni patamu kwa vile kurunzi ya kimataifa ipo
 
Mbna haya awamu zilizopita hayakuwepo na Rais kakaa kimya tu
 
WALIKOSEA KUSIKILIZA USHAURI WA CCM. HAPO WANGEJIFANYA KAMA HAWAJUI CHOCHOTE ALAFU WANGEZIRUDISHA MAPEEMA WAONE KAMA ZINGEKATALIWA AU LA MI BINAFSI NAMUUNGA MKONO MKURUGENZI
 
Wakurugenzi waonywe, wataharibu uchaguzi sana sana! Wasiendelee kukaa kimya Wahusika. Mungu atupiganie
 
WALIKOSEA KUSIKILIZA USHAURI WA CCM. HAPO WANGEJIFANYA KAMA HAWAJUI CHOCHOTE ALAFU WANGEZIRUDISHA MAPEEMA WAONE KAMA ZINGEKATALIWA AU LA MI BINAFSI NAMUUNGA MKONO MKURUGENZI

..wasimamizi wana MAMLAKA makubwa mno.

..mtu mmoja anapewa mamlaka ya kukinyima chama cha siasa nafasi ya kushiriki ktk uchaguzi?

..Mkurugenzi anatakiwa awe muwezeshaji na siyo mkwamishaji wa wagombea / vyma vya siasa kushiriki uchaguzi.
 
Wakurugenzi hawana shida, tatizo liko kwa Mteuzi wao.

Jenerali Ulimwengu: Kinachoendelea serikalini, Tumerudi nyuma miaka 50 kwenye demokrasia



CCM Mpya mbali ya kujinadi inamuenzi muasisi wa taifa huru la Tanzania lakini CCM haikubaliani na maono ya Mwl. Nyerere umuhimu wa kuwepo vyama vingi vya kisiasa na watumishi wa serikali kupewa uhuru wa kufanya maamuzi ya haki kwa uhuru kabisa.
 
Sasa mkurugenzi kakosea nini hapo?

Wewe unapewa fomu kisha unasem ni feki halafu unataka uirudishe kwa aliyekupa fomu feki tena.

Huyo jamaa wanayemuita katibu analisauti likubwa tu na anaongea saana ila kichwani hamna kitu.

Hata mimi nisingeipokea...nenda kqnishtaki nimekupa fomu feki...ili nishtakiwe kwa kujaribu kukurubuni.

Mkurugenzi anatakiwa kuwa na hekima kuliko alivyoonyesha. Yeye kama msimamizi hana haki yakukataa fomu yeyote ambayo ameitoa mwenyewe hata kama wanaoirudisha wameonyesha wasiwasi nazo. Yeye ni mtumishi wa umma na wananchi wote ndio mabosi wake. Alitakiwa awathibitishie kuwa hizo fomu walizopewa ni halali kwa kuwaonyesha fomu nyingine zinazofanana nazo. Badala ya kususa alitakiwa awaandikie kuwa atapokea fomu zote zilizotolewa na ofisi yake pamoja na risiti tofauti zilizotolewa. Lugha ya kusema kuwa hawezi kuziamini kwa sababu mtu yeyote anaweza kuchonga mhuri ni kuthibitisha hofu ya hawa wagombea kuwa alikuwa na mpango wa kuzikataa toka awali. NEC nao wanatakiwa kutoa maamuzi mapema panapotokea sintofahamu kama hizi.

Amandla...
 
Bila tume huru wapinzani wanajisumbua tu. Huyu msimamizi anaonekana hata kwambali kwamba hawezi tangaza ushindi kwa mpinzani kwa namna yeyote hata ashinde kwa 90%.

Wengine hatushangai kwani tulishasema bila Tume huru hakuna uchaguzi fair bali ni mapichapicha sasa nyie upinzani mlioziba masikio yenu tuambieni hapo mtashindaje mechi ambayo kwenu magoli yapo na kwa mpinzani wenu hakuna goli?
 
Siasa za Tanzania shida sana, yaani chama cha upinzani eti kinasubiria huruma ya chama tawala ili nacho kiwe chama tawala...inachekesha na kusikitisha..
 
Maagizo kutoka juu kwa Limbukeni mkuu mhutu , vyama vyote visikubali mkurugenzi anayezingua apigwe yeye na familia yake ndio watatia adabu jamani wenye madaraka huwa hawayaachii hivihivi mpaka walazimishwe , yaani hapa ndio pa kutoa mfano kwa ccm kijani kibichi idiots .
 
Back
Top Bottom