Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Suala feki limeanzia kwa wachukua fomu mkuu.Kwani kazi yake si ni kupokea fomu? Suala la feki au sio feki linaanzia wapi kama ni yeye mwenyewe ndiye alitoa fomu baada ya malipo kufanyika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suala feki limeanzia kwa wachukua fomu mkuu.Kwani kazi yake si ni kupokea fomu? Suala la feki au sio feki linaanzia wapi kama ni yeye mwenyewe ndiye alitoa fomu baada ya malipo kufanyika?
Lililopo..
Nimekupa fomu kisha ukasema ni feki.
Kisha ukaijaza na kuirudisha...so far does it make sense to you sir?
Mimi kama fomu niliyopewa ingekuwa feki ningeirudisha bila kuijaza na kudai iliyo halali maana kama naijua feki basi iliyohalali naijua vema.
Ukinirudishia fomu uliyoijaza huku uliita feki kuna mengi...kwanza ulikurupuka kunichafua. Pili, je nitajibu nini kama fomu uliyoirudisha kweli ni feki na ni mtego, niliyokupatia ilikuwa halali hivyo ulifanya mchezo wa kuset minds za watu kwamba nimekupq feki ilihali ilikuwa halali...sasa wakati wa kurudisha unarudisha feki.
OCD alimtonya. Huu mwaka huu! MhnMimi naichukia CCM lakini hatamimi ningelikuwa huyo Mkurugenzi ningezikataa hizo Fomu mpaka zithibitishwe na Polisi kwani Hapo Mtego ni 50/50 Kati ya Chadema na Mkurugenzi...
Dah hii ni mbaya sana kwa Upendo na amani ya taifa hili
Tofauti moja ya mashine mkuu....lakini zote za ofisi moja.Hebu mtaalam tusaidie kwanini wagombea wa ccm wamepewa risiti ya halmashauri na wengine wasipewe wapewe ya tofauti?
Kwanini risiti za wagombea ubunge zimeandikwa za wagombea udiwani?
Acheni kujifanya mna akili sana kuliko wengine
Muda mwingine ficheni upumbavu
Alipaswa ku clear hiyo doubt right away bila kupotezeana muda na maneno mengi yasiyo na maanaTofauti moja ya mashine mkuu....lakini zote za ofisi moja.
Labda kitabu kiliisha....au wa CCM mashine ilikuwa inasumbua...
Mkurungezi ana majibu.
Kwangu logic itakataa nitakapo msikia mkurungezi akisema aliwapa wagombea wengine fomu zisizo fanana bila sababu maalum mkuu.Mmmh, mkuu unatumia nguvu kubwa kujaribu kutetea uovu, lakini Logic inakataa.
Binafsi baada ya hii video nimewafutilia hawa watu...wanamivutano ya wenyewe kwa wenyewe.Alipaswa ku clear hiyo doubt right away bila kupotezeana muda na maneno mengi yasiyo na maana
Hii nchi ikiharibika msije kusema hakuna walio onya juu ya viashiria hivi vya kipumbavu kabisa
Unashabikia dhuluma tu.Sasa mkurugenzi kakosea nini hapo?
Wewe unapewa fomu kisha unasem ni feki halafu unataka uirudishe kwa aliyekupa fomu feki tena.
Huyo jamaa wanayemuita katibu analisauti likubwa tu na anaongea saana ila kichwani hamna kitu.
Hata mimi nisingeipokea...nenda kqnishtaki nimekupa fomu feki...ili nishtakiwe kwa kujaribu kukurubuni.
Wagombea wa CHADEMA Moshi wakataliwa kupokelewa fomu zao na Mkurugenzi