tumefikia patamu tiba tuchapane tuu hili dubuasha litakamatwa hata jumuia za kimataifa ni patamu kwa vile kurunzi ya kimataifa ipoWagombea wa CHADEMA Moshi wakataliwa kupokelewa fomu zao na Mkurugenzi
tumefikia patamu tiba tuchapane tuu hili dubuasha litakamatwa hata jumuia za kimataifa ni patamu kwa vile kurunzi ya kimataifa ipoWagombea wa CHADEMA Moshi wakataliwa kupokelewa fomu zao na Mkurugenzi
Mwaka huu nakuapia kwa jina la Mungu kuwa utazika wakurugenzi. Weka kumbukumbu!Anza kujitoa wewe!! Ili ushughulikiwe kweli kwelj.
Wa kupasua sasa! Ni hawa hawa waliodeki barabara au?Inatakiwa Apasuliwe Mkurugenzi mmoja ili wengine watie akili.
WALIKOSEA KUSIKILIZA USHAURI WA CCM. HAPO WANGEJIFANYA KAMA HAWAJUI CHOCHOTE ALAFU WANGEZIRUDISHA MAPEEMA WAONE KAMA ZINGEKATALIWA AU LA MI BINAFSI NAMUUNGA MKONO MKURUGENZI
Wakurugenzi hawana shida, tatizo liko kwa Mteuzi wao.
Sasa mkurugenzi kakosea nini hapo?
Wewe unapewa fomu kisha unasem ni feki halafu unataka uirudishe kwa aliyekupa fomu feki tena.
Huyo jamaa wanayemuita katibu analisauti likubwa tu na anaongea saana ila kichwani hamna kitu.
Hata mimi nisingeipokea...nenda kqnishtaki nimekupa fomu feki...ili nishtakiwe kwa kujaribu kukurubuni.
Bila tume huru wapinzani wanajisumbua tu. Huyu msimamizi anaonekana hata kwambali kwamba hawezi tangaza ushindi kwa mpinzani kwa namna yeyote hata ashinde kwa 90%.