Uchaguzi 2020 Moshi: Mkurugenzi akataa kupokea fomu za wagombea kwa sababu walizituhumu sio halisi, awataka wakazithibitishe polisi kwanza

Kivipi? Mgombea anaenda kuchukua fomu katika sehemu iliyopangwa kutoa fomu husika. Mgombea hajui fomu zinafananaje ili kutofautisha kati ya fomu halali na fake. Sasa iweje tena Chadema wajitengenezee matatizo!? 😳
Sio wagombea wa CDM ndio walikuwa wanaziona form kwa mara ya kwanza nchi nzima ilikuwa ivyo; tatizo CDM ndio wanajua zaidi.
 
Sasa Mkuu mgombea wa Chadema anayepewa fomu fake na tumeccm ataijuaje hadi useme kwamba Chadema wanajitakia matatizo? Mgombea wa udiwani au Ubunge unadhani atakuwa tayari KUPOKEA fomu kama anajua ni fomu fake!? 😳

Naona Mkurugenzi husika ameshatumbuliwa na Tume ya Uchaguzi
Kuna misukule humu imemtetea kuwa alichokifanya ni sahihi.
Haya nyie mlionyofolewa ubongo, sukule lenzenu limepigwa chini sasa,maana yake Chadema walikuwa sahihi.
 
Hao kina mama walitambua kuwa watashindwa wameamua kufuta aibu kwa kutengeneza mgogoro.
 
Sasa Mkuu mgombea wa Chadema anayepewa fomu fake na tumeccm ataijuaje hadi useme kwamba Chadema wanajitakia matatizo? Mgombea wa udiwani au Ubunge unadhani atakuwa tayari KUPOKEA fomu kama anajua ni fomu fake!? 😳
Utapewaje form fake na mkurugenzi ambae anaipokea yeye mwenyewe ukiirudisha na kukuthibitisha kama mgombea.

Si ndio maana akawaambia kama walikuwa wanadhani amewapa formn feki waende polisi wanarudishaje bila kuhakikishiwa na mtu mwingine.

Ni kujitakia
 
Kwanini isiwezekane ikiwa tume yenyewe ni ya wahuni? Hujasikia hao wahuni waliogoma kupokea form au kutoa form kwa mgombea fake na hawana rekodi yoyote ya huyo waliyempa ni nani?

Ndio maana nikaandika ni tatizo la kujitakia, kwa sababu walikuwa na pre judgments tayari za mkurugenzi ana nia ovu. Mtu anawapa form wao wana akili zao tayari kuna nia ovu.

Huko kukatwa pia ni uzembe wa kuiga CCM watu walikuwa na siku kadhaa za kupeleka form kuhakikiwa kama zipo sahihi awakufanya ivyo. CCM form zao viongozi wao wana husika kuhakikisha kama wagombea wamejaza sawa ndio maana they can afford last minutes na hakuna aliekatwa.

Si umemsikia Lema kanda yake anayosimamia kuna wabunge 37 na mamia ya madiwani kwakuwa alikuwa anafuatilia kwa kuwasiliana nao kila hatua hakuna aliekatwa karibu wote wapetishwa isipokuwa kulikuwa na utata za udiwani sehemu kama mbili. Ina maana huko kwingine mambo yalipoenda ndivyosivyo laumuni viongozi wenu kwa uzembe.
 
Saizi hatutaki figisu fisieyemu hatuwataki manina tunataka uongozi mpya utakao toa ajirana na kuthamini maisha ya wa tz wote kiujumla na sio kwa kikundi cha watu wachache
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Siku ukitia akili kichwani UTAELEWA kwanini Watanzania wengi wanaiita tumeccm.

Ndio maana nikaandika ni tatizo la kujitakia, kwa sababu walikuwa na pre judgments tayari za mkurugenzi ana nia ovu. Mtu anawapa form wao wana akili zao tayari kuna nia ovu.

Huko kukatwa pia ni uzembe wa kuiga CCM watu walikuwa na siku kadhaa za kupeleka form kuhakikiwa kama zipo sahihi awakufanya ivyo. CCM form zao viongozi wao wana husika kuhakikisha kama wagombea wamejaza sawa ndio maana they can afford last minutes na hakuna aliekatwa.

Si umemsikia Lema kanda yake anayosimamia kuna wabunge 37 na mamia ya madiwani kwakuwa alikuwa anafuatilia kwa kuwasiliana nao kila hatua hakuna aliekatwa karibu wote wapetishwa isipokuwa kulikuwa na utata za udiwani sehemu kama mbili. Ina maana huko kwingine mambo yalipoenda ndivyosivyo laumuni viongozi wenu kwa uzembe.
 
Sasa mkurugenzi kakosea nini hapo?

Wewe unapewa fomu kisha unasem ni feki halafu unataka uirudishe kwa aliyekupa fomu feki tena.

Huyo jamaa wanayemuita katibu analisauti likubwa tu na anaongea saana ila kichwani hamna kitu.

Hata mimi nisingeipokea...nenda kqnishtaki nimekupa fomu feki...ili nishtakiwe kwa kujaribu kukurubuni.
CHADEMA huwa wanajishuku mapema mno. Siku chache zilizopita Mbowe alitoa matishio online kwa Tume kuwa iwapo haitampitisha Lissu, basi kitanuka, yaani hata kabla Lisu hajakamilisha taratibu za kuomba kuteuliwa. Kuna utoto sana ndani ya CHADEMA siku hizi. Ni afadhali enzi zile kukiwa na Zitto na Slaa, chama kilikuwa makini sana ingawa Zitto naye alikuwa mropokaji lakini alikuwa anadhibitwa internally.
 
Kwa hili namshukuru Kaijage kwa kumuengua huyo msimamizi.
 
Sasa mkurugenzi kakosea nini hapo?

Wewe unapewa fomu kisha unasem ni feki halafu unataka uirudishe kwa aliyekupa fomu feki tena.

Huyo jamaa wanayemuita katibu analisauti likubwa tu na anaongea saana ila kichwani hamna kitu.

Hata mimi nisingeipokea...nenda kqnishtaki nimekupa fomu feki...ili nishtakiwe kwa kujaribu kukurubuni.
Hujitambui hata kidogo, kajifunze kuandika kwanza.
 
CHADEMA huwa wanajishuku mapema mno. Siku chache zilizopita Mbowe alitoa matishio online kwa Tume kuwa iwapo haitampitisha Lissu, basi kitanuka, yaani hata kabla Lisu hajakamilisha taratibu za kuomba kuteuliwa. Kuna utoto sana ndani ya CHADEMA siku hizi. Ni afadhali enzi zile kukiwa na Zitto na Slaa, chama kilikuwa makini sana ingawa Zitto naye alikuwa mropokaji lakini alikuwa anadhibitwa internally.
Hatutaki uzee ndani ya CHADEMA, ubabu ulionao sisi hatuuhitaji hata kidogo. Na hao mafirauni uliowataja hawatustui hata mshipa wa kende!

Uzee wako wa hovyo huo usitupe shida baki nao hautusaidii sisi.
 
Jenerali Ulimwengu: Kinachoendelea serikalini, Tumerudi nyuma miaka 50 kwenye demokrasia

CCM Mpya mbali ya kujinadi inamuenzi muasisi wa taifa huru la Tanzania lakini CCM haikubaliani na maono ya Mwl. Nyerere umuhimu wa kuwepo vyama vingi vya kisiasa na watumishi wa serikali kupewa uhuru wa kufanya maamuzi ya haki kwa uhuru kabisa.

Sitaki kumuita mtu mchaga, mrundi, au mhutu. Ni hoja za mtanzania tuziheshimu tu.
 
CHADEMA huwa wanajishuku mapema mno. Siku chache zilizopita Mbowe alitoa matishio online kwa Tume kuwa iwapo haitampitisha Lissu, basi kitanuka, yaani hata kabla Lisu hajakamilisha taratibu za kuomba kuteuliwa. Kuna utoto sana ndani ya CHADEMA siku hizi. Ni afadhali enzi zile kukiwa na Zitto na Slaa, chama kilikuwa makini sana ingawa Zitto naye alikuwa mropokaji lakini alikuwa anadhibitwa internally.
Mkuu huoni kama kauri hizo za kuwasakama tume ndo zimefanya tume isimkate Lissu.
 
Back
Top Bottom