Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Sio wagombea wa CDM ndio walikuwa wanaziona form kwa mara ya kwanza nchi nzima ilikuwa ivyo; tatizo CDM ndio wanajua zaidi.Kivipi? Mgombea anaenda kuchukua fomu katika sehemu iliyopangwa kutoa fomu husika. Mgombea hajui fomu zinafananaje ili kutofautisha kati ya fomu halali na fake. Sasa iweje tena Chadema wajitengenezee matatizo!? 😳