Uchaguzi 2020 Moshi: Mkurugenzi akataa kupokea fomu za wagombea kwa sababu walizituhumu sio halisi, awataka wakazithibitishe polisi kwanza

Nyumbu hawaelewi
 
Mkuu huoni kama kauri hizo za kuwasakama tume ndo zimefanya tume isimkate Lissu.
Hamna uthibitisho wowote kauli hizo hazikuwa na effect yoyote; ni kauli za kitoto tu. Kwanza elewa kuwa tume inapitisha kulingana na fomu zilivyoletwa halafu kukiwa na mapingamizi yanaamuliwa baadaye. Hata Lissu analijua hilo
 
Hamna uthibitisho wowote kauli hizo zilikuwa na effect yoyote; ni kauli za kitoto tu. Kwanza elewa kuwa tume inapitisha kulingana na fomu zilivyoletwa halafu kukiwa na mpingamizi yanaamuliwa baadaye.
Sasa mmehamia kwenye pingamizi, hii nchi yetu sote hakuna aliyepiga kura kuzaliwa Tanzania tuheshimiane tafadhari.
 
Kung'ang'ania kumpitisha mgombea bila kupingwa inaharibu taswira ya CCM kwa kupitia hao wasimamizi maana hao wanaonyimwa haki ya kuchagua wanaingiwa na chuki hata kwa hao wanasubiri kupigiwa kura hivyo watapiga Kura za hasira kwa wanaoonekana kuonewa, na Kama mtu akipitishwa bila kupingwa hata kampeni ya kuimarisha chama hatafanya maana yeye anasubiri kuapishwa tu, huyo anayeshauri Mambo hayo naona kaamua kuwaharibia chama waonekane wezi na makatili ili wachukiwe.
 
Hawa makada wa CCM ni matatizo matupu.
 
Sasa mmehamia kwenye pingamizi, hii nchi yetu sote hakuna aliyepiga kura kuzaliwa Tanzania tuheshimiane tafadhari.
Kama ulisahau kunywa dawa zako leo asubuhi, wahi kabla mambo hayajakuharibikia zaidi.

Nimeskiliza jamaa huyu aliyekuwa msaidizi wa Lissu

na kumsikilia Lissu hapa


nikaanza kujua linaloendelea!!
 
Awamu hii sijui inatupeleka wapi Tz. ee Mola 'tuondolee' hawa viumbe wanaotaka tuingie ktk machafuko.
 
Kama ulisahau kunywa dawa zako leo asubuhi, wahi kabla mambo hayajakuharibikia zaidi.

Nimeskiliza jamaa huyu aliyekuwa msaidizi wa Lissu

na kumsikilia Lissu hapa


nikaanza kujua linaloendelea!!
We jamaa fala kabisa kapigwe pumbu huko.
 
Wapeleke form wanapopokea original ,kama walipewa feki wasirudishe kwa mkurugenzi .Mkurugenzi ni akili kubwa
 
Unayemtetea amekwisha fukuzwa, hats hivyo endelea tu na utetezi wako huenda uko kwenye mazoezi ya vitendo kuwa wakili wa CCM.
 
Ulishaona anayejitambua anatukana wasiojua? What for? Only untimely can do that.
Narudia tena wewe hujitambui, na hakuna ulijualo kazi yako ni upuuzi tu.

Sasa umeshawashika wapuuzi wenzio baadhi na wanakuona huwa una maana kumbe mpumbavu tu, kiswahili kimekushinda hicho kiingereza nikiamua tuanze kujibizana nacho utakiweza "Mr Kulialia?" Sijui kiswahili cha wapi hiki kulialia [SUP]🙄[/SUP]
 
Wale wale..bye.
 
Ili kuwapa adabu hawa wakurugenzi inatakiwa wachapwe na nguvu ya umma iwe fundisho kwa wengine watanzania Kama mnataka mageuzi nguvu ya umma ndio huwa haizuiliwi na yeyote yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…