babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Nyumbu hawaelewiSasa mkurugenzi kakosea nini hapo?
Wewe unapewa fomu kisha unasem ni feki halafu unataka uirudishe kwa aliyekupa fomu feki tena.
Huyo jamaa wanayemuita katibu analisauti likubwa tu na anaongea saana ila kichwani hamna kitu.
Hata mimi nisingeipokea...nenda kqnishtaki nimekupa fomu feki...ili nishtakiwe kwa kujaribu kukurubuni.