Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,773 Reaction score 51,429 Feb 1, 2022 #101 TUJITEGEMEE said: Mkuu tusipoweka vibweka hivi kwenye mada kama hizi, uzi haunogi. Ha ha haaaa! Click to expand... Naelewa mkuu wala usiwe na shaka kabisa Vionjo muhimu sana ☺️
TUJITEGEMEE said: Mkuu tusipoweka vibweka hivi kwenye mada kama hizi, uzi haunogi. Ha ha haaaa! Click to expand... Naelewa mkuu wala usiwe na shaka kabisa Vionjo muhimu sana ☺️
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,289 Reaction score 46,624 Feb 1, 2022 #102 Ncha Kali said: Gaidi lipo jela na bado nchi haitawaliki, angekuwa na akili timamu angejiuzulu tu. Click to expand... Nchi haitawaliki kivipi?? Kuna raia wameingia msituni kuipinga serikali ya chui jike?
Ncha Kali said: Gaidi lipo jela na bado nchi haitawaliki, angekuwa na akili timamu angejiuzulu tu. Click to expand... Nchi haitawaliki kivipi?? Kuna raia wameingia msituni kuipinga serikali ya chui jike?