Moshi: Mwalimu mbaroni akituhumiwa kusababisha kifo cha mwanafunzi kwa kumpiga mateke

Wakikuelewa nahama nchi
Hawaelewi Kwa kua hawajitambui ila inaumiza hata Mimi ni mzazi ukiniumizia mwanangu lazima tupambane aseeehhh!!!
Mimi natimiza wajibu wangu kazini na life linasonga kiherehere sikiwezi
Jukumu la malezi ni mtoto ,mzazi na mwl Sasa kama mzazi kamtelekeza mwanawe mi ntaweza peke yangu....

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Walimu wenyewe wa siku hizi wanakaa vijiweni wakivuta bangi na wanafunzi wao heshima ya mwalimu shuleni itatoka wapi?
 
Sijui kila shule iwe na askari wa kuwalinda wanafunzi dhidi ya ukatili wa waalimu?
 
Walimu wenyewe wa siku hizi wanakaa vijiweni wakivuta bangi na wanafunzi wao heshima ya mwalimu shuleni itatoka wapi?
Walimu badala wapambane,wawabane serikali
Kudai maslahi bora zaidi
Hasira zao wanahamishia kwa watoto
Wanaishia jela tu

Ova
 
Mi nadeal na wazazi wao nna no za simu za wazazi au walezi wao,nahakikisha na wao wa no yangu pia so mwanafunzi hajasahihisha nampigia simu mzazi wake ,kagua daftari za kijana wako haiwezekani maths asisahihishiwe siku 3 zoteee,wakifeli nawapa adhabu za kujenga wanapanda bustani,kulima n.k nikichapa wanashangaa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji1][emoji1][emoji1]!!! mnooooooo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Utata umeibuka kuhusu kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari iliyoko Pasua, Manispaa ya Moshi, Walter Ebenezer, anayedaiwa kushambuliwa kwa mateke kwenye mbavu na mwalimu wake kisha kupewa adhabu ya kupiga ‘push up’...
Afisaelimu sekondari huko moshi manispaa ni mtumishi mzembe katika historia asipoondolewa haraka kuna maafa mengi mtayasikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…