Moshi: Mwalimu mbaroni akituhumiwa kusababisha kifo cha mwanafunzi kwa kumpiga mateke

Walimu wenzangu hiki ni kizazi Cha lonyolonyo watoto walegevu mnoo,zamani walikua wanapigwa hawafi au hawaumwi siku hizi maradhi mengi wanafunzi Bado watoto mnoo katoto kanaanza shule...
Hii comment itolewe nakala na ibandikwe kila shule
 
Hata gari la leo ukilitreat kama magari ya zamani linakufia hapo. Zamani tunatandikwa na mateke sasa hivi mtoto wa mtu mwache kama alivyo aadhibiwe kwa utaratibu maalum.
 
kwani walimu mnatutafuta nini hasa ?

hamjifunzi kwa wenzenu ?
 
Yaani habari imekaa kumlaum mwalimu tu why?

Kwani hosptal alikokuwa akitibiwa,vipimo vinasemaje? Na kwanini hawasemi alipigwa kwasababu gani?

Mimi naamini kama alipelekwa hospital kwasababu ya kipigo asingeweza kupokelewa bila PF.3
 
Kazi ya ualimu ngumu maana unawafundisha watoto wanaobalehe viburi, Malaya n.k Mimi kipindi naanza ajira Kuna mwanafunzi alinogomea kuchapwa, Mimi nimepanda juu alafu dogo anaenigomea mdogo mno hata mkononi hafiki, tena anagoma anasema "oyaa achana na mimi unajifanya unavurugu teacher usinizingue huku anarusha mikono kama mtu anataka kuanzisha ngumi...dogo nilimpiga kichwa kimoja tu kama ni kazi ningefukuzwa siku ile.. tokea miaka hiyo Sijawahi kumpiga mtoto wa mtu tena Nimekua mtu wa kushauri na kupita kushoto.
 
Polisi wetu huwa wanawaza kwa kutumia matumbo,"makachero wanaenda kujiridhisha kama hiyo taarifa ipo" ni nini hiki,mzazi ameishafungua shitaka polisi,polisi mmemkamata mtuhumiwa,sasa hapo Bado intelijensia yenu haijawajulisha kuwa hapa Kuna tukio?
Kwenye ishu kama Hz,polisi huwa wanaona fulsa ya kupiga pesa,wanaweza kuwasukuma wazazi wazike Ili ushahidi upotee,Kuna ugumu gani kwenda kufanya postmortem?mbona wanakuwa na haraka kwenda kupiga mabomu waandamanaji?
 
Hahahahaha......Hawa watoto wanakera baasi tu!!Mimi Kwa kweli napenda maisha yangu watajua na wazazi wao
Mwana mjinga mzigo Kwa *****
Watoto wahuni jamani acheni TU afu wakishakunywa viroba vyao Sasa au dabo kiki weeee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Yaani habari imekaa kumlaum mwalimu tu why?

Kwani hosptal alikokuwa akitibiwa,vipimo vinasemaje? Na kwanini hawasemi alipigwa kwasababu gani?

Mimi naamini kama alipelekwa hospital kwasababu ya kipigo asingeweza kupokelewa bila PF.3
Walim na mahasira yao wataishiaaa sana gerezani

Ova
 
Mwalimu kama ndio kaniulia mtoto lazma nimvizie nimtie kichapo hadi akate moto nayeye. Undava undava tu

Ni wazi kua mtoto akikosea anastahili adhabu ILA kuna taratibu za namna nzuri ya kuadhibu mtoto, ila mwalimu akijifanyia mambo yake pasipo utaratibu akaumiza mwanangu ahesabu nayeye nitamnyoosha tu! Haina msamaha
 
Mwalimu wa mfano inabidi tukuandalie mdahalo kwenye Media utoe elimu kwa walimu mana tabia ya kupiga bila kufauata utaratibu inamea,si private si government walimu wenye stress wanaondolea kwa watoto wetu kama si kuchapa basi kufinya
 
Sisi kama ugomvi tupambane na serikali watoto tunawaonea tu masikini,hawana makosa wazazi wao hawana Uwezo wa kuwapeleka feza baasi hasira zote twapeleka kwao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huko PM hapajabanana kweli kwa wale Me Vitonga?[emoji4]
 
Mwalimu kama ndio kaniulia mtoto lazma nimvizie nimtie kichapo hadi akate moto nayeye. Undava undava tu
Utajulikana ni wewe.

Vitu kama hivyo unakubali matokeo, unavumilia hata ipite miaka 10 atakuwa katengeneza maadui wengi ukimtengeneza hutahusishwa kabisa...

Usiache alama yoyote ile

Fatilia nyendo zake kama anapenda mademu sana muwekee viagra na valium 500mg hapo hawezi pona hata aandamane wapi.

Kama mlevi mpe ofa za bia akizima mgonge

Kama anapenda boda boda mpelekee ubavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…