Moshi: Mwalimu mbaroni akituhumiwa kusababisha kifo cha mwanafunzi kwa kumpiga mateke

Siku hizi hakuna kufukuza shule ila Sio sababu ya kupiga mangumi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wanafunzi wenyewe hawapendi shule, wazazi hawana ufatiliaji, mtoto akifukuzwa anaenda kuwa boda boda au changudoa hivyo familia wanakuwa hawajapoteza kitu.

Ni familia chache sana zinazowekeza kwenye elimu
 
Mateke ya mbavu ni hatari,huyu mwalimu mpumbavu ni wa kumpoteza mazima..
 
Wanafunzi wenyewe hawapendi shule, wazazi hawana ufatiliaji, mtoto akifukuzwa anaenda kuwa boda boda au changudoa hivyo familia wanakuwa hawajapoteza kitu.

Ni familia chache sana zinazowekeza kwenye elimu
Kabisaa Kuna mzazi hajui mwanawe Yuko form ngapi na hivi form two D mbili umefaulu ndo kabisa Yaani hawajali na hii elimu Bure Yaani tuna wazazi wa hovyo sana hapa Tanzania elimu Bure wao ndo haiwagusi kabisaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji119][emoji1][emoji1]duhhhh

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Serikali ya CCM imewasababishia walimu maisha magumu sana wana stress mbaya. Wanao athirika ni wanafunzi
Unaonaje huu muda wa kuilaumu CCM ukafanya usafi wa mazingira hapo kwako ili kujiepusha na magonjwa ya mlipuko?
 
kwani hile adhabu ya kuwatimua watoto watukutu shule ilisha futwa?
Siku siasa nyingi hakuna kufukuza hata iweje unaambiwa elimu msingi ni basic rights ya mtoto ukimfukuza km mzazi akienda Kwa afisa elimu mnaletewa Vimeo warudi akienda Kwa diwani ndo mmeumia na hivi mwakani uchaguz wa serikali za mitaa weee....sasa hvi Kila Mwanasiasa hai hai hapoo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Inasikitisha mpwayungu village unamaoni gani hapa ?
 
Yaani huo ni muendelezo kabisa hata jamii itayofuata itakua ya hovyo sana, wazazi wengi hawajitambui
 
Watoto wengi wana matatizo ya kiafya siku hizi..usijipigie tu mtoto wa mtu hovyo
 
It's true kabisaaa ukisemacho maana kama watoto ndo Hawa wasioelewa sidhani km watakuja kua walezi wazuri Kwa watoto wao!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nadhani tatizo ni umasikini, mtu anaona liwalo na liwe. Miaka 20 ijayo watakumbuka na kuona hatuna la maana, wataanza ujambazi
 
Ulipiga kichwa cha kata funua [emoji1787][emoji1787] shule timiza wajibu wako tu fundisha pindi zako umemaliza jichanganye kwenye michongo yako uta enjoy sana
 
Mwanafunzi huyu amepoteza maisha baada ya kupigwa mateke na adhabu ya push up... (Kelvin Ebenezer) mwanafunzi wa kidato cha Nne katika shule ya private (Pasua) iliyoko Moshi mkoa wa kilimanjaro.

Source @milladayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…