Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

Mwalimu alitakiwa apige hiyo pua ya huyo mzazi kwa rula ya ubaoni mpaka pua iwe kama chapati.
 
😂😂😂😂😂Aiseh
 
Mwanafunzi kudeki shule kwani yeye analipwa na serikali hizi kazi za kudeki walimu ndio wafanye wao.
Watoto wenu wengi wataishia kujiuza au kuwa mashoga kwa kuwa mnawaona mayai sana, yaani mtoto asijifunze kazi za kawaida kabisa kama hizo? N'a bado unaona Sawa tu?
 
Mtu umezaa mwana kwa shida halafu kamtu kengine kanakuja kukuchapia mwanao!
 
Kumbe ulitaka Nani afanye usafi shuleni?
Kwa akili yako iliyochoka unataka walimu wanaolipwa $200 wakadeki vyoo vya wanafunzi?
Wake up young lady .
Huyu anajifanya mjuaji sana

Yaani darasa analotumia Mwanafunzi lidekiwe na nani sasa
 
Katika kumlinda jitahidi pia kumfundisha adabu na Nidhamu

Ukiona Waalimu ni kero zaidi mfundishe mwenyewe masomo yote nyumbani
 
Mtu umezaa mwana kwa shida halafu kamtu kengine kanakuja kukuchapia mwanao!
Si ubaki naye nyumbani uwe unambembeleza na kumpaka mafuta?

Lah, hutaki mpeke International Schools au English medium schools...achana na St. Kayumba
 
Hizi methali zikishajibu kwa watoto wako utatuletea majibu
*Mchelea mwana kulia .......
*Haba na haba.....
*Lakuvunda .....
*Mtoto umleavyo....
*Apandae haba ....
*Mkaidi afaidi.......
Majibu yake:-
*Mchelea mwana kulia na kucheka.
*Haba na haba ndio mwendo.
*Lakuvunda nyama ilooza.
*Mtoto umleavyo atakushukuru akikuwa.
*Apandae haba atashuka na haba.
*Mkaidi afaidi akikosa chumvi na sukari.
 
Watoto wenu wengi wataishia kujiuza au kuwa mashoga kwa kuwa mnawaona mayai sana, yaani mtoto asijifunze kazi za kawaida kabisa kama hizo? N'a bado unaona Sawa tu?
Hivi shule za bure ndio kwenye mambo ya kudeki zile za kulipia nako inakuwaje?.

Kwahio mtoto asipo deki akikuwa mkubwa anaishia kujiuza na kuwa shoga kwa uonavyo?.

Unajua akirudi shule kuna kazi ngapi zina msubiria afanye? Shule ni sehemu ya masomo au kazi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…