Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

Una point, lkn mzazi naye ana mdomo, angeweza kuongea na walimu sio kuchukua Sheria mkononi.

Unafikiri mtoto atakua anajisikiaje akijua walimu hawatamuadhibu Tena.
Unafikiri Kuna mwalimu hapo shuleni atashughulika na huyo mtoto?
Yuko mzazi mmoja Dar alikwenda shuleni kwa lengo la kumpiga mwalimu lkn walimu wanamtetea mwenzao na kumuambia huyo mzazi, kuanzia leo hatuta shughulika na huyo mtoto wako hata akiumwa hakuna atakaye kupigia simu.
Mzazi alidhani Ni utani.
Nini kikatokea?!
 
Usikute Wala sio fimbo moja.Wacha wapigwe maana walimu wamezidisha.
Ndiyo maana tuna taifa lililojaa vijana wajinga wajinga na wabachojua ni kubeti, kunywa ulabu, mpira na mademu. Mtoto anakataa kupiga deki huku wenzake wakifanya kazi halafu mnataka mwalimu amchekee na kumwimbia Haniiiii ya Zuchu siyo?? Hapa naangalia UTV ya Azam taarifa ya habari wanasema kijana kamuuwa baba yake kwa kumkata mtama then akapiga tofali za kichwa na kuuwa baba yake aliyemzaa... Haya endeleeni kucheka na nyani tuone kama mtavuna mahindi, niko paleee...
 
we mpuuzi nini? Yaani mi mwalimu nideki wakati wanafunzi wapo? Kazi za usafi wa mazingira ya shule hufanywa na wanafunzi na imezoeleka hivyo
Achana na kuzoeleka. Uwapo na mwanafunzi,umesimama kwenye nafasi ya mzazi. Mbali na masomo,mtoto yeyote anatakiwa afundishwe. Usafi,kazi mbali mbali. Af uje uulize wazazazi wa 50+, ilikuwaje wakati wanasoma. Hata ambaye hakufanikiwa kuendelea,aliwekwa katika hali ya kuweza kutatua changamoto zinazomkabili. Leo hii,ndo maana kitoto kinaingia F1, kinamzidi mama yake kuwajua wanaume. Kiburi kinamzidi nzi. Kinasoma mpaka chuo kikuu,kina tatoo hadi kwenye kibumbu. Acha tu watu wahalibike yote yameanzia huko shule,ambako walimu hawatakiwi kuwagusa watoto. Af tena badae,utasikia oh,hawa walimu wanawafundisha nini? Hutaki mwanao aguswe,kweli haguswi. Kinakosea,wanakiandikia 98%. Mzazi home anaejitambua akimkagua,anakuta ana 10%. Kilio weee
 
Mwanafunzi kudeki shule kwani yeye analipwa na serikali hizi kazi za kudeki walimu ndio wafanye wao.
Haya ndiyo mawazo ya vijana wa kizazi hiki, ambao ni zaidi ya 70 % na eti ndiyo taifa linawategemea, daaah huu ni msiba mkubwa wallahi..
 
Tatizo mwandishi ameamua kuchagua kuwa upande wa waalimu bila hata kutumia akili, hivi kweli mtoto achapwe fimbo moja halafu mzazi aje kufanya fujo shuleni?

Fanyeni uchunguzi kidogo kabla ya kuleta habari kwenye public.

- Inawezekana mtoto ana matatizo ya afya ndio maana alikataa kudeki, so mwalimu kabla ya kukurupuka kutumia mafimbo angemshirikisha mzazi(siku hizi simu zipo kila mahali).

- Semeni ukweli alimchapa vipi na alitoa maneno gani wakati anamchapa au wakati mzazi alipokuja shuleni.

UCHUNGU WA MWANA AUJUAYE MZAZI.
Sasa huyo mzazi si ampeleke mtoto wake English medium schools za Ada ya milioni mbili ambapo kuna wafanyakazi wa kufanya usafi shuleni? Yaani upeleke mtoto St Kayumba mwalimu ndiye apige deki na kufagia shuleni???
 
Ndiyo maana tuna taifa lililojaa vijana wajinga wajinga na wabachojua ni kubeti, kunywa ulabu, mpira na mademu. Mtoto anakataa kupiga deki huku wenzake wakifanya kazi halafu mnataka mwalimu amchekee na kumwimbia Haniiiii ya Zuchu siyo?? Hapa naangalia UTV ya Azam taarifa ya habari wanasema kijana kamuuwa baba yake kwa kumkata mtama then akapiga tofali za kichwa na kuuwa baba yake aliyemzaa... Haya endeleeni kucheka na nyani tuone kama mtavuna mahindi, niko paleee...
Bila malezi na strict discipline ni janga na bomu katika jamii
Huu ujinga wa kukariri na kuadopt kila kinacholetwa na huu utandawazi wa kuiga maisha ya kimagharibi ni tatizo sana .
Hizo nchi watu wanazoiga kuna tatizo kubwa la mmomonyoko wa maadili na ndio hizo sasa wameshindwa kudeal na matatizo kama crimes , mfano Marekani inakabiliwa na tatizo kubwa la matumizi ya mihadarati na madawa mengine ya kulevya + wimbi kubwa la uhalifu na mauaji .
Kama mass shootings hizo tunaziona kila siku kwenye taarifa ya habari .
 
Haya ndiyo mawazo ya vijana wa kizazi hiki, ambao ni zaidi ya 70 % na eti ndiyo taifa linawategemea, daaah huu ni msiba mkubwa wallahi..
Na wewe kizee cha zamani tuna yaheshimu mawazo yako ya kale.
 
Me wangu Yassin alikuwa anachukua hela dukani kwao anakuja kunihonga, kuna siku alichukua simu mpya dukani kaja kunihonga 😜😜😜
Bahati yake nilisoma mwaka mmoja!!
Ningeendelea angenikoma 🤣🤣🤣
Afu kalikuwa kajinga kananiletea mambo ya kuch kuch hotae mtoto wa kikinga??
😅😅😅😅😅 kuch kuch hotae.
 
Kumbe ulitaka Nani afanye usafi shuleni?
Kwa akili yako iliyochoka unataka walimu wanaolipwa $200 wakadeki vyoo vya wanafunzi?
Wake up young lady .
Duh halafu ujue nilikaa na kuamini this lady yupo vizur upstairs kumbe akili za slay Queen kabisa aiseee
 
Mwanafunzi kudeki shule kwani yeye analipwa na serikali hizi kazi za kudeki walimu ndio wafanye wao.
Hizi methali zikishajibu kwa watoto wako utatuletea majibu
*Mchelea mwana kulia .......
*Haba na haba.....
*Lakuvunda .....
*Mtoto umleavyo....
*Apandae haba ....
*Mkaidi afaidi.......
 
Back
Top Bottom