Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

Takwimu zip leta hapa za mwaka mzima
Ujinga unakusumbua sana, kama hujui Mwaka wa kifedha unavyokua counted na TRA pole sana
Screenshot_20220512-144716.png
 
Jiji na Halmashauri, tofauti yake ni nini au kuna faina gani kubwa kuwa jiji. Pili hayo majiji yaliyopo yanaizidi nini Halmashauri zilizopo. Issue hapa sio jina Jiji issue ni makazi yanakubalika kwenye standard za usafi, facilities like schools, Hospitals, markets na mawasiliano mazuri. Matajiri wengi ulaya hupendelea miji midogo yenye utulivu na mandhari nzuri. Hebu tuona Dar es Salaam say Buguruni, Tandale, Kwa Azizi Ali n.k. je haya ni kamazi salama kwa binadamu? Je halmashauri ya Moshi ina squatter areas kama za Dar? Mimi nahisi hata wenyeji wa eneo hilo sidhani kama wanataka jiji ili yawe kama haya mengine.
 
Ni

Nilijua tu fala utaleta izi mshamba leta za mwaka jana mzima ujinga tu na elimu zenu za kuibia mitihani
Mwaka Jana ni 2020/2021, mwaka huu ni 2021/2022 ambao haujaisha mpaka June, we ni mjinga

Na ulivyokua na akili fupi unadhani ya mwaka huu unaoisha June kutokua na utofauti Mkubwa sana tofauti na mwaka Jana aiseee sikujua unaupeo mdogo hivi
 
Unaona atakuwa position iyo unaumwa ebu chukua kimkoa cheny Cha walevi uone mna mapato kiasi gani sibishani wa washamba uwe na adabu tafuta wapumbavu wenzio
 
Unaona atakuwa position iyo unaumwa ebu chukua kimkoa cheny Cha walevi uone mna mapato kiasi gani sibishani wa washamba uwe na adabu tafuta wapumbavu wenzio
Hujui hata mwaka wa kifedha serekali unaisha lini na unaanza lini we ni mjinga tu
 
Moshi ingelikua imeendelea wachagga wasingekuja kutafuta riziki kanda ya ziwa n.k,,,huku nilipo wachagga wamejaa tele wanaishi huku huku miaka mingi, kule moshi huwa wanaenda kuzika ama kula Christmas/pasaka kisha wanarudi kwenye pesa.

Bila shaka hata baadhi mliomo humu mpo miji ya watu kutafuta riziki ya kula.
 
Hujui hata mwaka wa kifedha serekali unaisha lini na unaanza lini we ni mjinga tu
Unaelewa lakin au ushazoea kuibia mwaka wa serikali unaanza mwezi wa Saba tuntaka mapato ya mkoa mzima unayajua mpaka Sasa au uneleta takwimu nusu nusu kalete hata y mwaka jana tuone
 
Unaelewa lakin au ushazoea kuibia mwaka wa serikali unaanza mwezi wa Saba tuntaka mapato ya mkoa mzima unayajua mpaka Sasa au uneleta takwimu nusu nusu kalete hata y mwaka jana tuone
Hizo takwimu ziko full kama hujui kusoma sema usaidiwe, alafu wewe ni mwanaume nenda kwenye website ya TRA kahakikishe kama unaona unadanganywa usiwe unapenda mteremko na kila kitu ufanyiwe
 
Hizo takwimu ziko full kama hujui kusoma sema usaidiwe, alafu wewe ni mwanaume nenda kwenye website ya TRA kahakikishe kama unaona unadanganywa usiwe unapenda mteremko na kila kitu ufanyiwe
Kaliwe kweny migomba huko uliona wapi tunataka za mkoa mzima unalet nusu danganywa wajinga wenzio
 
Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba

Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
Inakuwa ovyo kwa sababu ya kukutana na mashamba ukitoka mjini. Mbona hii ni kawaida dunia nzima. Jinsi mji unavyokuwa, wenye mashamba hupisha kwa kuuza ardhi kwa maendelea. Kwa taarifa Moshi ndiyo mji msafi kuliko miji yote TZ. Wana sheria na sheria zinasimamiwa bila upendeleo.
 
Ni mpumbavu sababu kama ameletewa takwimu za TRA na BoT na bado anaendelea kupinga ni mpumbavu

Kwa uelewa wangu kahama ni mji unaokua kwa Kasi lakin bado kwenye huduma za kijamii huufiki Moshi mfano equity walikua wanatangaza wamefungua tawi kahama nawakati Moshi tawi la equity lipo tokea 2000's, na kahama hawana hospital kubwa kama kcmc
[emoji3]
 
Inakuwa ovyo kwa sababu ya kukutana na mashamba ukitoka mjini. Mbona hii ni kawaida dunia nzima. Jinsi mji unavyokuwa, wenye mashamba hupisha kwa kuuza ardhi kwa maendelea. Kwa taarifa Moshi ndiyo mji msafi kuliko miji yote TZ. Wana sheria na sheria zinasimamiwa bila upendeleo.
Usafi sio kigezo cha kuwa jiji
Haya nipe hizo kawaida zingine ambazo kilometa moja toka kati ya jiji kuna mashamba
 
Mabaya ya Moshi na Kilimanjaro
1. Ardhi hawa jamaa hawauzi ardhi kirahisi.
Usinunue eneo Moshi bila kufanya uchunguzi wa kutosha unaweza kujikuta kwenye mgogoro na familia
2. Manispaa ina eneo dogo sana hivyo mji unatanuka kwenda Moshi vijijini ..maeneo ya KCMC , kiborloni unaweza kuuziwa kiwanja cha 20 kwa 20 zaidi milioni 20 ....
Pia ni ngumu kukuta maeneo karibu n mjini manispaa au halmashauri ya Moshi vijijini inatangaza offer za viwanja ina maana maeneo Mengi yana watu yaani occupied.
3. Tabia yao ya kupanda migombani kila ifikapo jioni inafanya kujenga mjini kwao ni second option....hivyo ataliendeleza eneo lake la mjini endapo kama linamlipa
4.Dont trust them...kama wewe ni kiongozi wa taasisi na sio mwenyeji wa mkoa huu unatakiwa kuwa makini ....ni wakali wa kujimobilize dhidi yako na unaweza ukaingia kwenye kashfa usitoke...kwa kifupi wakabila sana kwenye sehemu yenye maslahi. Wanapenda kuwaita wakuja "chasaka"
Mimi pia ni chasaka kwani sitokei mkoa huu..
5. Wanaume wengi wanapopevuka wanaondoka home na wanaacha wake zao huku...hivyo kuna masingle mom wa kutosha ..na hii mentality wanawake wa huku wanaona ni party and parcel hawajali kwao ndoa ni heshima tu
Kwaiyo mkuu Una wala Sana kimasiala uko ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeanza tena kufananisha kijiji cha moshi na kathmandu!!! Are you serious? Haya nasubiri battle ya Dubai city and moshi village [emoji16] huu mwaka mmetisha
No hoja iliyopo ni kilimo kufanyika mijini acha kutanua goli..
 
Back
Top Bottom