Teh! Si uliuliza swali kuhusu mzunguko wa pesa?! Benki=PesaOna sasa, mnajichanganya wenyewe mara mapato ya serikali, mara sijui nini π wewe umekuja na dadi ya benki tena, nyie watu bwana π
Faiza foxy alikosea kusema "Hizo shule mlienda kusomea ujinga"??
Haujafika manispaa ya Rorya weweNi Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba
Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
Akili yako ipo chini
We Piriii Wewe????Haka ka mji kamechoka, kamepauka hakana maendeleo nilimaliza hapo mary goreti mwaka 2000 ila hadi leo mji uko vilevile. Wachaga mpunguze maneno rudini kwenu mkapaendeleze lol
Haka ka mji kamechoka, kamepauka hakana maendeleo nilimaliza hapo mary goreti mwaka 2000 ila hadi leo mji uko vilevile. Wachaga mpunguze maneno rudini kwenu mkapaendeleze lol
Mjini unasikia harufu ya mavi ya ng'ombe n mbolea mfu
Mjini unasikia harufu ya mavi ya ng'ombe n mbolea mfu