Uchaguzi 2020 Moshi: Tundu Lissu ashindwa kuhutubia baada ya kuchelewa Mkutano wa Kampeni, aahidi kurudi

Hizi video na mapichapicha myatunze ili atakapoapishwa JPM mzikague kura za hao raia wote zilienda wapi.
Wee jidanganye..unafkiri huyu ni lowassa mliemwibia halafu eti wa akamwachia mungu!!!!...huyu wa mwaka huu ni wa jino kwa jino.

polisi tunawaomba ccm itakapoanzisha fujo kwa kuharibu uchaguzi nyie kaeni pembeni, tuacheni sisi(tupo wengi) na wao(ni wachache sana) tufundishane heshima.
 
Mkuu naona unaandika kujifariji...safari hii kura hamtaziiba!!

Roho ya kukataliwa ii juu yenu na mgombea wenu!!
 

Subiri tarehe ifike ndipo utaelewa kitakachotokea CCM ndiyo watakao mpigia kura nyingi Tundu Lissu ndiyo maana hadi mgombea wao ameanza kupiga magoti, fikiria usumbufu wanaopata kusomba watu na magari kila mkutano na kufunga milango ili wasitokea mkutano ukianza, uliona Samora pale Iringa walisahau kufunga mlango nyomi iliyokuwa inatoka mgombea alipoanza kuongea.

Ni vema kujiandaa kwa mabadiliko hakuna namna kwa sasa inajulikana nani anakwenda kichaguliwa, watu wanaosha masufuria wengine wamelala chini kuomba msamaha lakini wananchi wameteswa mno na hii awamu chuki ni kubwa sana katika mioyo ya watu.

Halafu hayo mabomu wanayopiga ndiyo yanaongeza chuki waendelee kupiga ndo watajuwa ikifika tarehe 28/10
 
Ni yeyeeee
 
Kwamba mwaka huu nipige kura alafu muibe? Mm naomba mjalibu kwani huyo mkurugenzi wa uchaguzi anaishi mbinguni? ata Kama ni mbiguni mwaka huu namfata ukouko.
 
Huyu mtu anapendwa hivi kwanini....hana bango mahali, hana televion inayo-cover mikutano yake,hana wana Wanamuziki wakubwa.....mbona amekuwa tishio hivi.....
Iko nguvu isiyoonekana kwa macho inayotusukuma Watanzania. Hiki ni kibali cha Mungu juu ya Tundu Lissu....
 
Jino kwa jino ilishindwa zamani sana kipindi cha Lipumba.
Rais Edo wa Turkey baada ya mapinduzi aliwaambia raia yeye hawezi anawaachia raia waikomboe nchi yao dhidi ya vibaraka wa mabeberu.
Kila mtanzania mzalendo anahaki ya kuilinda nchi yake na makuwadi wa mabeberu wanaotaka kuharibu amani ya nchi yetu kwa kupitia mlango wa siasa.
kama polisi ni wachache basi wazalendo wa hii nchi wapo wengi pia,tutakutana uso kwa uso nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaa.
tukutane October 28 kwenye sanduku la kura.
 
Kwahiyo magufuli na lisu yupi anae vunja sheria.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Wananchi waligoma kuondoka Polisi wakamuomba Lissu aseme neno awatawanye, hata Lissu anajua kuhutubia usiku ni hatari achana na kwamba sheria inakataza, lolote linawezekana kutokea. Lissu sio na hajawahi kuwa mbumbumbu.
 
Anayemwaga damu za RAIA walioingia barabarani ni nani?Kwani sheria zetu zinakataza watu kuandamana?
 
Huku Namanyere wananiambia John Pombe Magufuli ndio kila kitu
Tundu atasubiri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…