wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Hizi attachment mbona hazifunguki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee jidanganye..unafkiri huyu ni lowassa mliemwibia halafu eti wa akamwachia mungu!!!!...huyu wa mwaka huu ni wa jino kwa jino.Hizi video na mapichapicha myatunze ili atakapoapishwa JPM mzikague kura za hao raia wote zilienda wapi.
Wametuwakilisha vizuri.Haya yanaitwa mahaba
Mkuu naona unaandika kujifariji...safari hii kura hamtaziiba!!Haya mambo buana, yanawahitaji watu wenye mioyo mikubwa, wenye uvumilivu haswaa!
Maana kufuatwa fatwa kote huko, mwisho wa siku unakuja kushindwa, tena sio kushindwa tu, Bali kushindwa zaidi ya kushindwa, Haki ya Nani unaweza kuchukua maamuzi mabaya
wengi wa watu hao wenye mioyo isiyoamini kilichowatokea! Wao huingia kwenye maamuzi mabovu ya kuingiza raia barabarani wakafe Kwa ajiri yao, na hapo sasa mtu hujikuta akinuka damu za watu mpaka kuzimu!
Kinacho wapa tabu zaidi ,ni wao kutoukubali ukweli,hivyo hawawezi hatakujua wanapokosea.Ha ha ha!
Wananchi wameamua sasa.
Haya mambo buana, yanawahitaji watu wenye mioyo mikubwa, wenye uvumilivu haswaa!
Maana kufuatwa fatwa kote huko, mwisho wa siku unakuja kushindwa, tena sio kushindwa tu, Bali kushindwa zaidi ya kushindwa, Haki ya Nani unaweza kuchukua maamuzi mabaya
wengi wa watu hao wenye mioyo isiyoamini kilichowatokea! Wao huingia kwenye maamuzi mabovu ya kuingiza raia barabarani wakafe Kwa ajiri yao, na hapo sasa mtu hujikuta akinuka damu za watu mpaka kuzimu!
Ni yeyeeeeHabari wanaJF!
Baada ya Lissu kuahirisha mkutano Jana Moshi mjini kwa kuchelewa kutoka Rombo baada ya kusimamishwa na wananchi njiani.
Kundi kubwa la watu walimfuata hotel aliyofikia kama ishara ya kuwa na imani nae hadi alipowaomba kwenda kupumzika na bado walionesha hali ya kumlinda anapolala. Chini ni video ikinionesha tukio zima la jana usiku.
Jino kwa jino ilishindwa zamani sana kipindi cha Lipumba.wee jidanganye..unafkiri huyu ni lowassa mliemwibia halafu eti wa akamwachia mungu!!!!...huyu wa mwaka huu ni wa jino kwa jino.
polisi tunawaomba ccm itakapoanzisha fujo kwa kuharibu uchaguzi nyie kaeni pembeni, tuacheni sisi(tupo wengi) na wao(ni wachache sana) tufundishane heshima.
Hayo ni LAZIMA yangetokea!!Kuna video wamemfuata hadi hotelini
Nimekumbukuka ile picha ya Keneth Kaunda KK siku yanatangazwa matokeo ya kumuondoa kwenye URais Zambia miaka hiyo mkewe alikaa chini. Naona historia inaweza kujirudia.Lissu sio mchezo.View attachment 1586088
Wananchi waligoma kuondoka Polisi wakamuomba Lissu aseme neno awatawanye, hata Lissu anajua kuhutubia usiku ni hatari achana na kwamba sheria inakataza, lolote linawezekana kutokea. Lissu sio na hajawahi kuwa mbumbumbu.Kwahiyo magufuli na lisu yupi anae vunja sheria.
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Anayemwaga damu za RAIA walioingia barabarani ni nani?Kwani sheria zetu zinakataza watu kuandamana?Haya mambo buana, yanawahitaji watu wenye mioyo mikubwa, wenye uvumilivu haswaa!
Maana kufuatwa fatwa kote huko, mwisho wa siku unakuja kushindwa, tena sio kushindwa tu, Bali kushindwa zaidi ya kushindwa, Haki ya Nani unaweza kuchukua maamuzi mabaya
wengi wa watu hao wenye mioyo isiyoamini kilichowatokea! Wao huingia kwenye maamuzi mabovu ya kuingiza raia barabarani wakafe Kwa ajiri yao, na hapo sasa mtu hujikuta akinuka damu za watu mpaka kuzimu!
Aliyewaamuru kuingia kuandamana na kuandamana huko kukoje?Anayemwaga damu za RAIA walioingia barabarani ni nani?Kwani sheria zetu zinakataza watu kuandamana?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hali ya MATAGA wa CCM waonapo nyuzi kama hizi!View attachment 1586458