Uchaguzi 2020 Moshi: Tundu Lissu ashindwa kuhutubia baada ya kuchelewa Mkutano wa Kampeni, aahidi kurudi

Aisee chadema hebu acheni uongo,hio video ni ya 1979 wkt Mkuu wa majeshi amepokelewa na wananchi alipokua ametoka kumpiga nduli Idd Amin.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
JPM ni Rais anayesubilia kuapishwa kwanini niteseke!
Kwanini anaomba Kura? JPM Ni mgombea Urais Anayetarajia kushinda brother;Kusubiri kuapishwa wakati yuko majimboni kuomba Kura??? Hizi Kauli wakati mwingine zinakigharimu chama;
 
Kwa hio unabisha mkuu?
Ndio mkuu kwa sababu ninavyofahamu Uganda ilichukuliwa na maafisa fulani wa jwtz ambao nimesahau majina yao na wakati ule hawakua ma jenerali, ni ma bregedier nadhani,zipo video youtube wanapokelewa UG na raia
 
Kwa hio mkuu kwny hio video ulivyangalia umeona nini?
 
Kwa hio mkuu kwny hio video ulivyangalia umeona nini?
Kwa mujibu wa hizo video miji mfano kampala ilikombolewa na maafisa fulani wa jwtz na walipewa jukumu la kuiongoza hiyo miji kwa muda na nyerere,mkuu wa majeshi alikuwa Dar es salaam. Labda iwe walitudanganya
 
Nilikua naulizia hio video iliyowekwa pale juu mkuu?
 
KURA ANATANGAZA MTU MMOJA TU INGAWA WAPIGAJI NI MIL 25.......USHINDI NI ???????????? ASILIMIA 54 KWA 46....AHHAHHAHAHA.
JESHI NA POLISI LANGU.... TUME YA UCHAGUZI NIMECHAGUA MIMI..MWENYEKITI WA TUME WANGU..... MBUZI WOTE WANGU...
 
Raia waligoma Kuondoka; Ikabidi polisi wampe Lisu 5 Minutes tu za kuwasalimia then aende; Dogo langu ni kiongozi wa chadema alinipa hiyo taarifa;

Kama ndivyo, basi hapo polisi walitumia busara sana. Nawapa hongera.
 
Huenda watu wanazuga ila kura ni siri yao. Wanashangaa mtu alienusurika kwa risasi 16 . Watu wana hamu na kitu kilichoonekana (maendeleo) kuliko kisichoonekana . Ahadi hewa sasa ni mwiko!!
 
Magufuli is a country bumpkin
You are very, very right. Keep on your dreams. However, the fact remains that what he has accomplished in 5 years, as a president, is not only commendable, but beyond any imaginable expectations.
 
You are very, very right. Keep on your dreams. However, the fact remains that what he has accomplished in 5 years, as a president, is not only commendable, but beyond any imaginable expectations.
Usimfanye kila mtu ni mjinga kama wanaCCM,kama kwa kipindi cha miaka mitano amefanya mambo makubwa sana kwa nini anaomba kura kwa kupiga magoti?

Wewe unaweza kufanya mambo makubwa sana kwa wananchi kisha ukaombe tena kibali cha kuendelea kuwatumikia kwa kupiga magoti?Kwanza mtu aliewafanyia mambo makubwa sana wananchi wala hana haja ya kufanya kampeni kwa sababu hayo mambo makubwa aliyofanya yanatoshi kumnadi.

Unapofanya mambo makubwa sana wananchi wanatakiwa wakuhitaji wewe kuliko unavyowahitaji wao.Iweje leo hii Magufuli ahitaji wananchi tena kwa kupiga magoti kuliko wananchi wanavyomuhitaji yeye kama alifanya mambo makubwa sana kama unavyojinasibu hapa?

Kitendo cha Magufuli kuomba kura kwa kupiga magoti ni ushahidi kuwa hakuna lolote la maana alilofanya kwa kipindi cha miaka mitano na kwa hiyo amekosa kibali cha wananchi kuendelea kuwa kiongozi wao,anachofanya sasa hivi ni kupiga magoti ili kulaghai watu.

Magufuli kwa sasa hivi ni tapeli anaetaka kurudi ikulu kwa njia za hila na kwa kulaghai watu baada ya kutumia miaka mitano kufanya ujinga na kujinufaisha yeye mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…