mbenge
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 4,864
- 10,483
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee chadema hebu acheni uongo,hio video ni ya 1979 wkt Mkuu wa majeshi amepokelewa na wananchi alipokua ametoka kumpiga nduli Idd Amin.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee chadema hebu acheni uongo,hio video ni ya 1979 wkt Mkuu wa majeshi amepokelewa na wananchi alipokua ametoka kumpiga nduli Idd Amin.
Kwanini anaomba Kura? JPM Ni mgombea Urais Anayetarajia kushinda brother;Kusubiri kuapishwa wakati yuko majimboni kuomba Kura??? Hizi Kauli wakati mwingine zinakigharimu chama;JPM ni Rais anayesubilia kuapishwa kwanini niteseke!
Raia waligoma Kuondoka; Ikabidi polisi wampe Lisu 5 Minutes tu za kuwasalimia then aende; Dogo langu ni kiongozi wa chadema alinipa hiyo taarifa;Vipi pilisi hawakuwavurumisha kwa mabomu ya machuzi kwa kisingizio kuwa ni vibaka?
Kwa hio unabisha mkuu?Mkuu wa majeshi alienda kumpiga nduni 1979 [emoji28] mkuu History yako ina shida kubwa sana.
Ndio mkuu kwa sababu ninavyofahamu Uganda ilichukuliwa na maafisa fulani wa jwtz ambao nimesahau majina yao na wakati ule hawakua ma jenerali, ni ma bregedier nadhani,zipo video youtube wanapokelewa UG na raiaKwa hio unabisha mkuu?
kwenye msafara wa mamba hata kenge hawakosi huyu anasindikiza tu rais ni JPMHapa ilikuwa Marangu walipomsimamisha kutokea Rombo kwenda moshi mjiniView attachment 1585972View attachment 1585973View attachment 1585974
Kwa hio mkuu kwny hio video ulivyangalia umeona nini?Ndio mkuu kwa sababu ninavyofahamu Uganda ilichukuliwa na maafisa fulani wa jwtz ambao nimesahau majina yao na wakati ule hawakua ma jenerali, ni ma bregedier nadhani,zipo video youtube wanapokelewa UG na raia
Kwa mujibu wa hizo video miji mfano kampala ilikombolewa na maafisa fulani wa jwtz na walipewa jukumu la kuiongoza hiyo miji kwa muda na nyerere,mkuu wa majeshi alikuwa Dar es salaam. Labda iwe walitudanganyaKwa hio mkuu kwny hio video ulivyangalia umeona nini?
Nilikua naulizia hio video iliyowekwa pale juu mkuu?Kwa mujibu wa hizo video miji mfano kampala ilikombolewa na maafisa fulani wa jwtz na walipewa jukumu la kuiongoza hiyo miji kwa muda na nyerere,mkuu wa majeshi alikuwa Dar es salaam. Labda iwe walitudanganya
Sijaicheki mkuu,nabana matumizi ya dataNilikua naulizia hio video iliyowekwa pale juu mkuu?
Sawa mkuu ungeicheki ungeona nilichokisema.Sijaicheki mkuu,nabana matumizi ya data
Kama hujui ni polisi ndio waliomwambia aende pale usiku ule angalau awasalimie watu then awaambie watawanyike maana watu waligoma kuondoka.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ruaaaaaaaaa!
Shimbonyi Mangi.[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Leo wakazi wa Moshi mjini wameamua kutoa ya moyoni kwa kumsubiri Rais anayetizamiwa na wananchi wengi kuwa Rais , Mhe. Tundu Lissu, Ambaye alikuwa Rombo .
Kuchelewa kwa Lissu kumetokana na Wananchi wengi kumsonga songa na kuziba njia asipite bila kuwasalimia kwani wanamtazamia kuwakomboa.
Alisimamishwa Marangu na nyomi kubwa haijawahi tokea hapo Marangu.
Baadae alifanikiwa kumfika mjini usiku huu, akikuta maelfu ya watu waliokuwa wakimsubiri bila kukata tamaa na walionesha kuwa na hamu nae kubwa sana.
Lissu alishindwa hata kuongea walivyokuwa wakimpigia kelele za kuonesha mahaba mazito kwake "RAIS RAIS RAIS, LISSU LISSU LISSU'
Ikabidi kuwatuliza ikashindikana kwasababu walikuwa wakipaza sauti kumtaja ni RAIS ajaye.
Mwishoni ikabidi, awatangazie atarejea tena kufanya mkutano, alishangiliwa na vifijo vya faraja kuu, ikiashiria wanamsubiri aje kwa mara nyingine.
My take!
Huu uchaguzi utakuwa haujawahi kuwapo na hautakuwahi kuwapo.
Lissu anapendwa kwa dhati na wananchi.
Chini ni baadhi ya picha na video za tukio la Leo.
View attachment 1585971
View attachment 1585968
View attachment 1585967
Hapa ilikuwa Marangu walipomsimamisha kutokea Rombo kwenda moshi mjiniView attachment 1585972View attachment 1585973View attachment 1585974
Raia waligoma Kuondoka; Ikabidi polisi wampe Lisu 5 Minutes tu za kuwasalimia then aende; Dogo langu ni kiongozi wa chadema alinipa hiyo taarifa;
Wa nyumbani kwakokwenye msafara wa mamba hata kenge hawakosi huyu anasindikiza tu rais ni JPM
You are very, very right. Keep on your dreams. However, the fact remains that what he has accomplished in 5 years, as a president, is not only commendable, but beyond any imaginable expectations.Magufuli is a country bumpkin
Usimfanye kila mtu ni mjinga kama wanaCCM,kama kwa kipindi cha miaka mitano amefanya mambo makubwa sana kwa nini anaomba kura kwa kupiga magoti?You are very, very right. Keep on your dreams. However, the fact remains that what he has accomplished in 5 years, as a president, is not only commendable, but beyond any imaginable expectations.