Uchaguzi 2020 Moshi: Tundu Lissu ashindwa kuhutubia baada ya kuchelewa Mkutano wa Kampeni, aahidi kurudi

Ruaaaaaaaaa!

Shimbonyi Mangi.[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]

Leo wakazi wa Moshi mjini wameamua kutoa ya moyoni kwa kumsubiri Rais anayetizamiwa na wananchi wengi kuwa Rais , Mhe. Tundu Lissu, Ambaye alikuwa Rombo...
Wacha walinyooshe hili zee liliyataka lenyewe! Huwezi kuwatenga watu kwa ajili tu ya kuwa na maendeleo makubwa kuliko makabila mengine!

Mzee jeuri na mjinga sana huyu, alivyokuwa anajibu watu kwa jeuri alifikri hatakuja kuwaomba kura? Natamani huko Kaskazini anyimwe kura hata na wanaccm wenzake!
 
Naamin walinzi wake wanalijua hilo na hao ccm hawata bet kufanya upuuzi huo
 
wasanii wapogo miaka yote kampeni za ccm hazijaanza leo. tafuta lingine la kusema! huu mwaka utakua the worst for cdm kuwahi kutokea because numbers dont lie
Numbers gani? Unaongelea? Labda with the usual handball tactics
 
Hakika LISU anapendwa nimejionea jana hapa mjini. sio mama zetu,sio wake sio wazee kila mmoja alikua na hamasa kubwa sana ya kusikia sauti ya LISU. Nitakuwa tena kweny mkutano utakaopangwa na baada ya kusikiliza ahadi za LISU. Niicheze ONE LOVE ya BOB MALLYA rege imerudi nyumbani!!!!
 
Habari wanaJF!

Baada ya Lissu kuahirisha mkutano Jana Moshi mjini kwa kuchelewa kutoka Rombo baada ya kusimamishwa na wananchi njiani.

Kundi kubwa la watu walimfuata hotel aliyofikia kama ishara ya kuwa na imani nae hadi alipowaomba kwenda kupumzika na bado walionesha hali ya kumlinda anapolala. Chini ni video ikinionesha tukio zima la jana usiku.

Your browser is not able to display this video.
 
Kuna video wamemfuata hadi hotelini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…