Uchaguzi 2020 Moshi: Tundu Lissu ashindwa kuhutubia baada ya kuchelewa Mkutano wa Kampeni, aahidi kurudi

Uchaguzi 2020 Moshi: Tundu Lissu ashindwa kuhutubia baada ya kuchelewa Mkutano wa Kampeni, aahidi kurudi

ivi unadhan hao nyomi ni wapiga kura? unajua ccm ina wanachama wangap?
[emoji23][emoji23] Si mlisema nyomi La 2015?

Kwahiyo wapiga kura ni wakenya sio?

Ccm wenyewe hawamtaki jiwe na inajulikana mpaka kinana, nape, makamba na membe wanamuita mshamba.
 
Jiwe twitter kajiunga 2015
Tundu kajiunga twitter 2019.

Jiwe kwasasa ni Rais, lazima popularity yake iwe kubwa.

Una jipya?[emoji23][emoji23]

Mbowe na Lemma wanajua Lissu hahitaji usaidizi ndio mtu pekee dawa ya jiwe sio kama lowassa alikuwa hajui kupiga spana.

Una jingine?

Social media doesnt need days nor months? nguvu yako media ipo pale pale kama una nguvu! usishangae mtu anatoa nyimbo sku moja ina views million! unajua raisi wako hua anablock watu wakimvamia kumwambia ukwel twitter? Aliobaki nao ndo wanaompeti peti wengine wote kawablock.
 
The kicks of a dying horse! That is what is happening to Tundu Lissu.
Hakika.
Screenshot_2020-09-30-21-46-48-1.jpg
 
Sikia we manka hakuna wewe wala chigulu wako kufanya ata ng'eeee ujasiri ulionao ni wakukaa nyuma ya keyboard.we mwenyewe unakili siku ya maandamano ya mange ulikuwa umejificha kwenye phamarcy unasikilizia shenzixy hamna jeuri.
Mtakapojaribu kuibia kura Lissu ndipo mtakapojua hamjui na hilo jeshi lenu uchwara.
 
Mange yupo USA.

Lissu tunaye TZ.

Walikamatwa watu walioandamana pale posta, nilikuwepo hiyo siku na mshikaji wangu tulikuwa na watu kadhaa kwenye phamarcy opposite na Askari monument tukiangalia mange alivyowahenyesha jeshi mtu hayupo Tz na ni mdada.


Tulia uone kwa Lissu.
Kwani mdada anashida gani?
Sidhani Kama jinasia ya muhusika inahusika Sana hapa.
Kuweza au kushindwa kwa mtu hakutokani najinsia yake. Kwamba unahisi wanawake wana IQ ndogo??

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
ameanza kukiuka sheria mikitano zaidi ya saa moja usiku?
 
Duuh! Huyu mtu anapendwa jamani.

Kuna mwingine anazidi kuifilisi nchi kwa kutumia fedha zetu za Kodi kukodi mabasi na kusomba watu.

Hajaishia hapo, pia analazimika kupiga magoti ili kuomba kura.
Wapi tena hapo alipigishwa magoti?
 
Kwani mdada anashida gani?
Sidhani Kama jinasia ya muhusika inahusika Sana hapa.
Kuweza au kushindwa kwa mtu hakutokani najinsia yake. Kwamba unahisi wanawake wana IQ ndogo??

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Mdada anaweza.

Kwa jamii zetu mwanaume ukishindwa na mdada na wewe ni wakiume ni aibu kidogo.

Kama wasira alivyopigwa chini na Ester bulaya.
 
Uchaguzi huu wamepata challenge hawatasahau walizoe kuleta mamluki wakina Prof Lipumbava ,Lowass,Slaa wamejaribu kwa sasa Membe imekua dead game.Huyu Lissu ni sawa simba amejaruhiwa na risasi 16 eti mumukamate kwa mikono wajaribu.
Kikwete alishasema juu ya lissu.

Huyu jamaa atawabeba msobamsoba mpaka akili ikae sawa.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
LISSU ndiye Rais. Bwana yule atuachie Ikulu yetu. Arudi kwake Burundi.
Rais anayependwa bila kutumia manguvu mengiiiiii halafu hupendwi na yeye anajua.

Sijui anajisikiaje akiwa peke yake.

Hana kibali na ana roho ya kukataliwa yaani GUNDU[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona Mond au MillardAyo watu wengi wana wafollow zaidi sana kuliko Magu what do you think???? Justification yako ya kipumbavu ndiyo maana munapigishwa magoti

umenkumbusha lissu alivoingia nchini kwa mara ya kwanza watu walivojaa pale airport kumshangaa alafu ufunguzi wa kampeni mbagala ikawa kituko! mwaka huu mtam sana
 
l doubt your reasoning ability ...there is a big difference between famous and popular ......l rest my case

millard and diamond sio famous ni popular, they have influence kwenye hii nchi! social media ndo iliamua trump awe president wa USA, u cant run away without social media,
 
Back
Top Bottom